Wanaume acheni kuwanyanyasa wanawake. Ni upuuzi

litutumbwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
642
Reaction score
1,303
Yaani leo hii ni kawaida mno kukuta kijana kaifadhi nyimbo za kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye memory card yake.

Jamani mbona wanawake hawatudhalilishi sisi? Ni wanaume ndiyo hufanya violence kwa wanawake. Ni stupidity.

Respect ni kitu cha bure. Its free, not sold.

It's very painful.
 
Naona baada ya Jana kufanikiwa kujiunga JF, leo umedondosha Uzi wako wa kwanza.

Hebu weka mfano wa hizo nyimbo zinszodhalilisha utu wa mwanamke
 
Wanaume wamezidiwa kete na kitumbua.....angalia wanavyoua wake zao sikuhizi.....Yaan kupotezea hawez ila analipiza.Umekuta mwanaume mwenzio anamtuliza mkeo au mpenz badala ya kuwaacha waendelee na upuuzi wao wewe unaua au kumrawiti mwanaume mwenzio😳 kitumbua hakijakuzidi mpaka hapo?

NB: mwanaume hamnyanyasi mwanamke wanaofanya hivyo ni kama yule askari wa zanzibar
 
Yaani leo hii ni kawaida mno kukuta kijana kaifadhi nyimbo za kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye memory card yake.

Jamani mbona wanawake hawatudhalilishi sisi? Ni wanaume ndiyo hufanya violence kwa wanawake. Ni stupidity.

Respect ni kitu cha bure. Its free, not sold.

It's very painful.
Umejiunga Jana uje kutema nyongo humu baada kuachika na kimarioo
 
Back
Top Bottom