litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 642
- 1,303
Naona baada ya Jana kufanikiwa kujiunga JF, leo umedondosha Uzi wako wa kwanza.Yaani leo hii ni kawaida mno kukuta kijana kaifadhi nyimbo za kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye memory card yake.
Jamani mbona wanawake hawatudhalilishi sisi? Ni wanaume ndiyo hufanya violence kwa wanawake. Ni stupidity.
Respect ni kitu cha bure. Its free, not sold.
It's very painful.
Umejiunga Jana uje kutema nyongo humu baada kuachika na kimariooYaani leo hii ni kawaida mno kukuta kijana kaifadhi nyimbo za kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye memory card yake.
Jamani mbona wanawake hawatudhalilishi sisi? Ni wanaume ndiyo hufanya violence kwa wanawake. Ni stupidity.
Respect ni kitu cha bure. Its free, not sold.
It's very painful.
Maana yake ni nini?Kwanza unaelewa maana ya jina lako la litutumbwe ...? Au umeandika hilo jina bila kujua maana yake