Hizi ndizo akili sahihi za kike nakupa hongera sana. Watoto wakike wote wangekuwa makini kiasi chako leo tungekuwa na idadi ndogo sana ya masingle mothers.Kunamtu alinambia tuzae nikamwambia Sina kizazi Cha majaribio akaniacha[emoji2][emoji2][emoji2]
Wanaume ni walaghai mno
Very true. Why uwe irresponsible na mbegu zako unapoziweka na ni za thamani sana.Ukiheshimu mbegu zako huwezi zigawa hovyo. Wewe unajua kuwa huna mpango nae, tumia kinga au hakikisha kameza P2 au fanya lolote asiwe mama wa mwanao.
Kabisa. Anakutumia picha ya mtoto mnafanana balaa kama majogoo halafu ameshaanza kutembea wewe hata ulishasahau kuwa mlikutana.Mimi huwa sijali kuhusu mwanamke, yupo siku za hatari, yupo siku salama kama sitaki kuzaa nae nitatumia kinga au atameza P2 kama ikitokea ilipasuka. Akili za wanawake wanazijua wenyewe huwezi risk kumwachia mbegu, anaweza kukupa mshtuko.
Sasa kabla haujatomba lazima ujue kuwa pale nikizama sitoboi why unazama?Sawa. Vizuri wewe ni miongoni mwa hao ambao wako responsible kama nilivyo andika. Wengine hawako responsible. Na kuna wengine wako responsible pia ila kuna baadhi ya mechi wanapitiwa na utamu. Jambo zito hili nakwambia. Wasomi na wasio wasomi wote kuna baadhi yao wanapitiwa baadhi ya mechi, especially akipata siku hiyo utamu ambao maybe hajawahi kuupata ama ni miongoni mwa tamu na nzuri chache ambazo kakutana nao na hata piiituuu wanazijua sana tu.
Narudia "jambo zito hili" na "binadamu ni wabishi sana".
Sasa Mwanamke kashafeli nafasi yake na hilo sote tunajua ila mziki unabakia namna gani tunaplay safe na wanawake wazembe tuliopewa kizazi hiki.adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe.....ukiwa haujalewa utanielewa vizuri.
hakuna mtoto atazaliwa kama mwanamke hajataka.....pia wanawake kabla hata ya kulala na huyo mwanaume huwa wanajua kama huyu anaweza kulea au atanikimbia.....ila ni uzembe na ile mentality yao kwamba atabadilika.
Me namtomba bila kinga na bao namwagia nje hapati kitu.Kwa hiyo kisa kubeba mimba ni suala la mwanamke ndio mnaenda tu mkiwa mmefumba macho? Hapa inatuhusu wote ke kwa me, msiotaka kuzaa kwa muda huo tumieni kinga.
Suala la kuzaa si la kumuachia mwanamke pekee kuna wanawake wengine hawajielewi, akili mbovu kama mnavyodai wenyewe utaskia nilitegeshewa mimba sasa ili kuepuka yote hayo vaeni kinga, kuweni na huruma na damu zenu.
Kabisa. Hapa lengo la huu mjadala ni kutetea mtoto asipatwe na majanga.Mimi naona suluishi ni mwanaume kuwa makini tu na mtu wa kuzaa naye,kama imetokea umepata mtoto na mwanamke hakuna kumuacha upambane naye mlee mtoto/ watoto wenu,hakuna haja ya kutesa watoto ambao hawana mskosa kwa starehe zenu,period
Watoto wengi waliozaliwa miaka hii wanaishi maisha ya baba kule mama huku, hii kitu ni mbaya sana kwa makuzi ya kiakili ya watoto.Huu ni ukweli ndugu,tatizo watu wanafanya maamuzi pasipo kuwaza matokeo yake,mama anamkimbua baba au baba anamkimbia mama ili kumkomoa bila kufikiria kuwa wanaoathirika ni watoto kwa kupata malezi ya upande mmoja tu,Mungu atusaidie
Unategewaje mimba dunia ya leo na mipira imejaa na mip2 kibao? Unless uwezo wako wa maamuzi juu ya maisha yako ya uzazi unategemea maamuzi ya mwanamke.Very true. Ni hawa vilaza tu wanalalamika kuwa wanawake wamewategea.