Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

Hua wanajiona wao malaika kwenye swala la mimba kana kwamba hua wanaziangukia tuu zinajaa tumboni, kwa nini usiwaambie wanawake wasizae na wanaume ambao hawana malengo nao[emoji848][emoji848]
Wanawake kama wanaweza zaa na wazee Rika za babu zao, wanaume za watu, vichaa, na kadhalika usishangae wao kuzaa na mtu asiye na sifa za kuwa baba wa familia anayoianzisha bila utaratibu.
 
Sheria inasema mtoto anakaa na mama yake mpk miaka 8
Ni miaka saba sio nane. Kama yupo timamu na anajiweza kimalezi nje ya hapo, huwezi acha mtoto akae miaka 7 na mama ambaye ni mlevi, mdangaji anafanya matukio ya kukosa adabu mbele ya watoto.
 
Kwenye suala la kubeba muamuzi ni mwanamke na consquencies zake zinajulikana. Kama mwanamke hayupo tayrai kukabiliana na consequencies za mimba na malezi basi afunge kizazi au asifanye sex akiwa kwenye siku za hatari. Binafsi huwa nawaweka wazi kabisa mademu ninaodate nao kwamba kwa sasa sitaki mtoto sasa akiamua kunitegeshea au kunibambikia iyo mimba mimi sitoitambua
Huwa hawajali maana anajua akizaa ukimuona mtoto utalegeza nafsi ndio maana still wanafanya wakijua utajirudi kulea. So usicheze nao huo mchezo wa hatari sana.
 
Chanzo kikukuu ni mwanamke kutubebea Mimba wakiwa na imani kuwa tutavutiwa zaidi nao.
Siku hizi kuna P2,Condoms,Miso alafu useme zote hizo ni options za kutokuzaa.
Wanawake wengi wamekuwa na tabia mbovu ambazo zinatutisha wanaume kukaa nao wanahisi tutazidi kuwapenda zaidi kumbe vijana siku hizi hatutaki majukumu ya mitoto.
Wanaume sio kwamba hatupendi watoto ila hatupendi kulea na wanawake wasio na akili za Maisha hili nimeliona sana. Wanaume hawana hofu ya kuwa baba bali kubeba majukumu ya baba na mwanamke asiye jua hata jambo moja kuhusu kuwa mke mwema na mama bora wa familia.
 
Unaakili sana wee Zemanda
Siyo kuwaoa tu, bali hata ukimuoa siyo ndiyo mnafungulia bomba ya kutiririsha watoto. Wazae watoto kilingana na uwezo wao. Kuzaa watoto wengi kwa kisingizio cha kila mtoto huja na riziki yake ni imani potofu na ushirikina. Jamii inapaswa kuondokana na mitazamo hiyo.
Kabisa mzee.
 
Sisi huku bado sana mambo hayo, tunajipigia tu. Akizaa atajijua, na hata akienda mahakamani unakuta gharama za matunzo siyo kubwa.

Diamond alipelekwa mahakamani alivyomkataa mtoto wa Mobeto. Diamond akaamuliwa aanze kutoa matunzo ya mtoto. Huwezi amini, Diamond na mihela yake yote aliiambia mahakama kuwa uwezo.wake ni kutoa sh 200k kwa mwezi. Ndiyo maana Mobeto akaamua kujikataa kwa Diamond mazima akasema yule siyo mtoto wa Diamond
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Gold digger alileta uzungu wake eneo la uswahilini.
 
Unategewaje mimba dunia ya leo na mipira imejaa na mip2 kibao? Unless uwezo wako wa maamuzi juu ya maisha yako ya uzazi unategemea maamuzi ya mwanamke.
Mimi nikifanya na mwanamke nachohofia ni STD's tu ila sio ujauzito maana najua namna ya kufanya na mwanamke asipate mimba hata kama yupo siku nzuri za kushika mimba.
 
Wengi hawajaelewa hoja ya mtoa mada hoja ni mtoto siyo mimba mtoto wako unamtunzaje?


1: Wanaume huwaaminisha wanawake KWENYE lengo ndiyo maana mwanamke hukosa nguvu ya kutoa mimba anaamini ataolewa

2: Mtoto akiwa kwa baba yake ndo aishi kwa raha kuliko akiwa kwa mama trust me hata kama wanapitia MAISHA magumu kiaje ila mwanamke akipitia gumu moja atamweleza mwanaye mauwongo yote

3: Unamlilia nani babako yuko KWENYE ujinga na watu wake
4: Babako hakuipenda mimba
5: babako hakutolei hata kumi hapa kula kinachopatikana
6:KWENYE jamii husema yeye ndo yeye (sifa)
Nk
Dah umenielewa na kunipata vema kabisa. Mtoto kwa baba anakuwa salama na atakuzwa vema kimaadili na tabia kuliko kwa mama. Wanawake ni dhaifu sana mambo yakiwa magumu na wako pekee yao.

Atakunywa pombe mbele ya mtoto, ataleta wanaume wapya mbele ya watoto, atalia mbele ya watoto, atawaambia watoto maumivu yake na kuwaharibu akili, atafanya kila ujinga. Watoto hawatakuwa salama.
 
Dah umenielewa na kunipata vema kabisa. Mtoto kwa baba anakuwa salama na atakuzwa vema kimaadili na tabia kuliko kwa mama. Wanawake ni dhaifu sana mambo yakiwa magumu na wako pekee yao.

Atakunywa pombe mbele ya mtoto, ataleta wanaume wapya mbele ya watoto, atalia mbele ya watoto, atawaambia watoto maumivu yake na kuwaharibu akili, atafanya kila ujinga. Watoto hawatakuwa salama.
Pamoja kaka
 
Huwa hawajali maana anajua akizaa ukimuona mtoto utalegeza nafsi ndio maana still wanafanya wakijua utajirudi kulea. So usicheze nao huo mchezo wa hatari sana.
Basi hapa lawama ni pande zote mbili. Kwenye migogoro ya masuala ya mahusiano lawama zote tunarushiwa wanaume kama vile wanawake ni wajinga wasiojua consequencies za maamuzi yao.
 
Sasa tumuweke binti pembeni tumjadili mwanaume na mtoto wake. Hivi wewe umeoa huwezi kutomba huko nje responsibly?

Unaingia chumbani na demu unamtomba kwanza hakikisha unakuwa fundi bao likija uwe umeimaster ile technique ya "Kuruka nje ya gari isiyo na break ikiwa speed ya 120km/h kwenye mteremko mkali huku unavuta cigar mdomoni na umefunga macho na kitambaa cheusi" a.k.a kupaisha mpira.

Mimi mbona hii style nimeimudu kwa muda mrefu naweza tomba demu hapa yupo siku nzuri za kubeba ujauzito ila sitasababisha mimba kwasababu simwagii ndani.

Why nyie ukifika wakati wa kupiga bao unalegeza kiuno unamwagia ndani huo si ufala na unajua una mke na hutaweza mudu kulea watoto wa nje, why ufanye huo ufala?

Huoni unakuja tesa hicho kimalaika ambacho kilitaka baba na mama yake waishi nyumba moja.
Kucontrol hata wanaume tunaweza,ila ukizisoma mentality za wanawake wengi wanaotoka na waume za watu target ya kwanza kumkamata huyo mume,ili tu afaidike nae financial atamkamata vip atatafuta way ya kumzalia na kuna wengine hutumia njia za kishirikina kabisa.

Huoni trend za slay Queens wengi kuzaa na waume za watu, hawazai kwa bahati mbaya baada ya hapo wanaamini hawakosi mtaji na mtoto atakuwa kwenye mgao na ndio maana wengi wao huishia kumposti mtoto ila baba mwenye mtoto hawathubutu.

Hiyo akili ya mtoto kuishi kwenye familia hawana kabisa wao ni hela, hizi biashara za wadada wengi wa mjini ukichunguza walio nyuma ni wanaume za watu na haziendeshwi kwa faida bali kwa nguvu ya huyo mume wa mtu.

Mimi kundi single mother ninao walaumu ni wale tu waliozaa na waume za watu wakijua wana ndoa zao, yaani hawakwepi lawama.
 
Back
Top Bottom