Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

Hua wanajiona wao malaika kwenye swala la mimba kana kwamba hua wanaziangukia tuu zinajaa tumboni, kwa nini usiwaambie wanawake wasizae na wanaume ambao hawana malengo nao[emoji848][emoji848]
Wanawake kama wanaweza zaa na wazee Rika za babu zao, wanaume za watu, vichaa, na kadhalika usishangae wao kuzaa na mtu asiye na sifa za kuwa baba wa familia anayoianzisha bila utaratibu.
 
Sheria inasema mtoto anakaa na mama yake mpk miaka 8
Ni miaka saba sio nane. Kama yupo timamu na anajiweza kimalezi nje ya hapo, huwezi acha mtoto akae miaka 7 na mama ambaye ni mlevi, mdangaji anafanya matukio ya kukosa adabu mbele ya watoto.
 
Huwa hawajali maana anajua akizaa ukimuona mtoto utalegeza nafsi ndio maana still wanafanya wakijua utajirudi kulea. So usicheze nao huo mchezo wa hatari sana.
 
Wanaume sio kwamba hatupendi watoto ila hatupendi kulea na wanawake wasio na akili za Maisha hili nimeliona sana. Wanaume hawana hofu ya kuwa baba bali kubeba majukumu ya baba na mwanamke asiye jua hata jambo moja kuhusu kuwa mke mwema na mama bora wa familia.
 
Kabisa mzee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Gold digger alileta uzungu wake eneo la uswahilini.
 
Unategewaje mimba dunia ya leo na mipira imejaa na mip2 kibao? Unless uwezo wako wa maamuzi juu ya maisha yako ya uzazi unategemea maamuzi ya mwanamke.
Mimi nikifanya na mwanamke nachohofia ni STD's tu ila sio ujauzito maana najua namna ya kufanya na mwanamke asipate mimba hata kama yupo siku nzuri za kushika mimba.
 
Dah umenielewa na kunipata vema kabisa. Mtoto kwa baba anakuwa salama na atakuzwa vema kimaadili na tabia kuliko kwa mama. Wanawake ni dhaifu sana mambo yakiwa magumu na wako pekee yao.

Atakunywa pombe mbele ya mtoto, ataleta wanaume wapya mbele ya watoto, atalia mbele ya watoto, atawaambia watoto maumivu yake na kuwaharibu akili, atafanya kila ujinga. Watoto hawatakuwa salama.
 
Pamoja kaka
 
Huwa hawajali maana anajua akizaa ukimuona mtoto utalegeza nafsi ndio maana still wanafanya wakijua utajirudi kulea. So usicheze nao huo mchezo wa hatari sana.
Basi hapa lawama ni pande zote mbili. Kwenye migogoro ya masuala ya mahusiano lawama zote tunarushiwa wanaume kama vile wanawake ni wajinga wasiojua consequencies za maamuzi yao.
 
Kucontrol hata wanaume tunaweza,ila ukizisoma mentality za wanawake wengi wanaotoka na waume za watu target ya kwanza kumkamata huyo mume,ili tu afaidike nae financial atamkamata vip atatafuta way ya kumzalia na kuna wengine hutumia njia za kishirikina kabisa.

Huoni trend za slay Queens wengi kuzaa na waume za watu, hawazai kwa bahati mbaya baada ya hapo wanaamini hawakosi mtaji na mtoto atakuwa kwenye mgao na ndio maana wengi wao huishia kumposti mtoto ila baba mwenye mtoto hawathubutu.

Hiyo akili ya mtoto kuishi kwenye familia hawana kabisa wao ni hela, hizi biashara za wadada wengi wa mjini ukichunguza walio nyuma ni wanaume za watu na haziendeshwi kwa faida bali kwa nguvu ya huyo mume wa mtu.

Mimi kundi single mother ninao walaumu ni wale tu waliozaa na waume za watu wakijua wana ndoa zao, yaani hawakwepi lawama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…