Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

Shida unakuta hujui kama hutomuoa, naye hadhani kama ataolewa.
 
Kuna wale wanajua mwaume ni mume wa mtu kisa anakipato anang'ang'ania kuzaa nae matokeo yake anatelezwa yeye na mtoto nayeye anaanza makelele ya child support. NAWASHAURI WANAWAKE MSIPENDE KUZAA NA WAUME WA WATU MTAKUJA KUJUTA
 
Hayo mahusiano yenyewe tu ambayo kupewa hela ni hiyari ya mwanaume tayari washayafanya kotega uchumi halafu ndio waakikishiwe kabisa kupata gawio kwenye kipato cha mwanaume sio ndio itakua balaa. Tusiwaangalie wanawake kama malaika wasiokua na hatia badala yake sheria itungwe kuzibana pande zote yaani me na ke. Kuwe na exceptions kwamba katika mazingira haya na haya ulikua ni uzembe wa mwanamke kwaiyo sio sahihi kumbebesha mzigo mwanaume.
 
Aaah..hata kinga inapasuka pia...wengine ndo Ivo tushazoea raw sex
Sema hapo kwenye kutumia kinga ni mtihani kwa kweli binafsi iyo kitu imenishinda kabisa ndio maana nikiwa kwenye mahusiano namwambia kabisa mwanamke kwa sasa sihitaji mtoto., wanawake tukiwauliza kama hawapo kwenye line waseme tu ukweli hizi mambo za kudanganya na kututegeshea mimba wataishia kuwa single mother tu
 
Anaejua upo danger zone ni nani!!?

Okh tunawaoa na kuwatengenezea life halafu mnazingua !mtakua single mothers tu!!
 
Izo ni consequences za harakati zenu nyie wenyewe. Wanaume wastaarabu waliona kuna haja ya kuwainua na kuwajumuisha kwenye nyanja za kimaendeleo. Kutokana na kwamba nafasi yenu ilikua dhaifu zikatungwa sheria za kuwapendeleo mfano sheria ya ndoa, child support n.k. zikaenezwa movements za kuwaamsha mfano ferminism, zikawekwa asasi za kuwalinda n.k.

Nyie mkatumia upendeleo mliopewa kisheria kutukomoa na kutufanyia ulaghai na utapeli wanaume, mkatumia movements za ferminism kupandikizana chuki, jeuri na roho za visasi dhidi ya wanaume, mkatumia victim status mliyopewa kutubambikia kesi za uongo. Hivi mlitegemea wanaume tutafumbia macho huu upuuzi wenu milele?

Na sisi tumelazimika kuji-adjust kwenye mfumo kitaalamu matokeo yake ndio haya sasa wameibuka team hakimi achraf mpaka rimoti ya tv inaandikwa jina la mama, vijana hawaoi, ongezeko la single mothers, anguko la thamani ya mwanamke kwenye jamii, mapenzi ya kuviziana n.k

Izo ideologies mnazofundishwa muwe mnazifanyia critical analysis to miles ahead sio mnakulupuka tu na kuziweka kichwani baada ya kupandishwa mzuka na wanawake wapumbavu kama joyce kirya na christina shusho.

Hii vita mlioanzisha hamuwezi kushinda. Mwanaume ni king of the jungle, iwe ni kwa namna ya kistaarabu, kibabe au kihuni mwanaume hajawahi kukosa mbinu ya kukabiliana na changamoto iliyopo mbele yake.
 
Nawapa pole members wote kazi wanayo
Ila penseli ww si umemaliza UE juzi hapa? Mbona hujabadilika?
UE gani mzee? Mi ni mfanyabiashara wa guest unadhani mimi mtoto wa chuo Jiheshimu mi nakuzaa kabisa we dogo!
 
Men have created masculine women! Wanawake wameji adjust baafda ya nyinyi kufeli majukumu yenu na kuwanyanyasa juu! Let’s all face the consequences
 
Men have created masculine women! Wanawake wameji adjust baafda ya nyinyi kufeli majukumu yenu na kuwanyanyasa juu! Let’s all face the consequences
Hakuna kitu kama hicho. Masculine mnayojiona mnayo ni illusion tu. Hata bwana/mume wako anapo-practice demokrasia kwenye mahusiano yenu he is just pretending to be civilized to maintain peace or to make you feel you are valuable, but when it comes a time you confront him to the extent that he can't tolerate that is the moment he will activate his jungle mood.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…