Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mahusiano yenyewe tu ambayo kupewa hela ni hiyari ya mwanaume tayari washayafanya kotega uchumi halafu ndio waakikishiwe kabisa kupata gawio kwenye kipato cha mwanaume sio ndio itakua balaa. Tusiwaangalie wanawake kama malaika wasiokua na hatia badala yake sheria itungwe kuzibana pande zote yaani me na ke. Kuwe na exceptions kwamba katika mazingira haya na haya ulikua ni uzembe wa mwanamke kwaiyo sio sahihi kumbebesha mzigo mwanaume.Mfano serikali wakabidhi mamlaka tra ya kufuatilia wanaume watoe matunzo ya mtoto kwa ulazima na ukishindwa utachezea makato kila kona kuanzia mshahara, ukitumiwa muamala, popote, ukiomba mkopo ukitoka tu unapigwa panga.
Halafu tuone kama itakuwa ni uamuzi wa mwanamke tu kubeba mimba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nadhani kuna swala la kujitambua na kutoruhusu mbegu zako zisambae kama unamwaga takataka vile
Penseli una hekaheka sana
Sema hapo kwenye kutumia kinga ni mtihani kwa kweli binafsi iyo kitu imenishinda kabisa ndio maana nikiwa kwenye mahusiano namwambia kabisa mwanamke kwa sasa sihitaji mtoto., wanawake tukiwauliza kama hawapo kwenye line waseme tu ukweli hizi mambo za kudanganya na kututegeshea mimba wataishia kuwa single mother tuAaah..hata kinga inapasuka pia...wengine ndo Ivo tushazoea raw sex
😀😀😀😀 wanaongea kirahisi rahisi tu. Kwanza wanawake wenyewe wanalalamika kondomu zinawachubua.Raha ya kukojoa ndani unayijua wewe..?!
Izo ni consequences za harakati zenu nyie wenyewe. Wanaume wastaarabu waliona kuna haja ya kuwainua na kuwajumuisha kwenye nyanja za kimaendeleo. Kutokana na kwamba nafasi yenu ilikua dhaifu zikatungwa sheria za kuwapendeleo mfano sheria ya ndoa, child support n.k. zikaenezwa movements za kuwaamsha mfano ferminism, zikawekwa asasi za kuwalinda n.k.Itakuja audience ya kipumbavu kukupinga. Yani mtu anasema kabisa mi nataka mwanamke anizalie watoto tu ila ndoa staki. Wanaume siku hizi hawataki responsibility wala accountability ya makosa yao. Sasa wakikutana wanawake desperate wanakubali kuzaa, mwanaume akiona amemfubaza mtoto
Wa watu kisawasawa anaenda kwa mwanamke mwengine anazaa nae. Ni wachafuzi!!
Penseli ndo nani? LamomyPenseli una hekaheka sana
UE gani mzee? Mi ni mfanyabiashara wa guest unadhani mimi mtoto wa chuo Jiheshimu mi nakuzaa kabisa we dogo!Nawapa pole members wote kazi wanayo
Ila penseli ww si umemaliza UE juzi hapa? Mbona hujabadilika?
Men have created masculine women! Wanawake wameji adjust baafda ya nyinyi kufeli majukumu yenu na kuwanyanyasa juu! Let’s all face the consequencesIzo ni consequences za harakati zenu nyie wenyewe. Wanaume wastaarabu waliona kuna haja ya kuwainua na kuwajumuisha kwenye nyanja za kimaendeleo. Kutokana na kwamba nafasi yenu ilikua dhaifu zikatungwa sheria za kuwapendeleo mfano sheria ya ndoa, child support n.k. zikaenezwa movements za kuwaamsha mfano ferminism, zikawekwa asasi za kuwalinda n.k.
Nyie mkatumia upendeleo mliopewa kisheria kutukomoa na kutufanyia ulaghai na utapeli wanaume, mkatumia movements za ferminism kupandikizana chuki, jeuri na roho za visasi dhidi ya wanaume, mkatumia victim status mliyopewa kutubambikia kesi za uongo. Hivi mlitegemea wanaume tutafumbia macho huu upuuzi wenu milele?
Na sisi tumelazimika kuji-adjust kwenye mfumo kitaalamu matokeo yake ndio haya sasa wameibuka team hakimi achraf mpaka rimoti ya tv inaandikwa jina la mama, vijana hawaoi, ongezeko la single mothers, anguko la thamani ya mwanamke kwenye jamii, mapenzi ya kuviziana n.k
Izo ideologies mnazofundishwa muwe mnazifanyia critical analysis to miles ahead sio mnakulupuka tu na kuziweka kichwani baada ya kupandishwa mzuka na wanawake wapumbavu kama joyce kirya na christina shusho.
Hii vita mlioanzisha hamuwezi kushinda. Mwanaume ni king of the jungle, iwe ni kwa namna ya kistaarabu, kibabe au kihuni mwanaume hajawahi kukosa mbinu ya kukabiliana na changamoto iliyopo mbele yake.
Hakuna kitu kama hicho. Masculine mnayojiona mnayo ni illusion tu. Hata bwana/mume wako anapo-practice demokrasia kwenye mahusiano yenu he is just pretending to be civilized to maintain peace or to make you feel you are valuable, but when it comes a time you confront him to the extent that he can't tolerate that is the moment he will activate his jungle mood.Men have created masculine women! Wanawake wameji adjust baafda ya nyinyi kufeli majukumu yenu na kuwanyanyasa juu! Let’s all face the consequences