Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

Hapana bhna mapenzi yana nguvu

Kumbuka mwanaume anaweza mtamani mwanamke na mwanamke akazama kwenye penzi akiamini kuwa ndiye mume kumbe mwanaume yupo kutimiza haja zake

Na kuna wanaume wana wadanganya wanawake wakibeba mimba atamuoa akibeba tu anachimba zake

Hapo kosa la nan?
 
Kosa ni la wote.

Mwanaume kamdanganya mwanamke,

Mwanamke kazaa bila ndoa. Ni tamaduni gani hapa nchini ambayo hailaani kuzaa bila ndoa au makubaliano flani na wazazi?

Sasa mwanamke anapuuzia hayo yote eti kisa mapenzi. Fala!
 
Ndiyo Ukweli Wenyewe
NNasema Uongo Ndugu Zangu
Hata Wewe Umkute Binti Yako Amekumbatiwa Na Lijamaa Hata Mahari Halikutoa Na Halitamuoa. Nilitaka Nitelemke Kwenye Gari Nikawazabe Makofi

Maneno Ya Mzilankende AkiwA MUST ~Mbeya
 
Hii kitu naogopa sana ila ukifatilia utajua ya kwamba mtu ambae haumpendi na hauna ndoto ya kuish nae yeye ndio huwa anakupenda.

Wanaume wengi huwa tupo kwa manzi kwa ajili ya kula mzgo tu na wala huwa hatujapend kbs wanaotupenda wapo hukoo, yan huwa hawatupend ama wanatusumbua san hvo tunatafuta pakujitulza ndio hvo unashangaa mimba hapo unaanza kuwaza unatokea wap ndio yanakuwa hayo ww unapta hv manzi nae anabak na dogo
 
Bandiko zuri ila kuna genge halitakuelewa.
 

Tatizo ni kupishana tu kwa mitazamo, mwanamke anaweza kushika mimba kwa sababu kadhaa
1. Imani kuolewa na huyo mtu
2.kuzaa mtoto mzuri kulingana na appearence za wazazi
3.mali
4.kuvutiwa na ukoo
5.uzembe tu
6. Au plan zingine tu

Kwa mwanaume yeye sababu ni moja tu kubebesha mimba kama kuonesha umwamba hatakama hataki kulea mtoto ila kile kitendo tu cha kumzalisha mtoto wa mtu ni fahari kwao ingawa ni upuuzi tu

In short ni upuuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…