Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

Sawa chanzo inaweza kuwa ni wote basi tuanze sote kuwa responsible. Wanawake wakaze eneo lao na sisi wanaume tukaze eneo letu. Ili tuwaokoe watoto.
 
Hilo siyo jukumu letu ni jukumu la wanawake kujichunga wenyewe
Wakati sisi wanaume tunafanyaje, sijasema tusitombe mademu ila sasa tuwe makini na wapi tunaweka mbegu. We unagonga demu kama Giggy money, unamkojolea ndani kwenye mji wa uzazi mzee? [emoji848]

Mtoto anatengenezeka mtu anabeba ujauzito. Humuonei huruma huyu malaika? [emoji848]
 
Wakati sisi wanaume tunafanyaje, sijasema tusitombe mademu ila sasa tuwe makini na wapi tunaweka mbegu. We unagonga demu kama Giggy money, unamkojolea ndani kwenye mji wa uzazi mzee? [emoji848]

Mtoto anatengenezeka mtu anabeba ujauzito. Humuonei huruma huyu malaika? [emoji848]
Kwaiyo gigy money haistaili kuwa na mtoto?
 
1. Kwanini lawama abebe mwanaume peke yake, mwanamke hajui madhara ya ngono zembe?

2. Mwanamke kuzaa na mwanaume asiye na malengo naye ndiyo sababu pekee ya usingle mother?

Yaani unawadekeza wanawake, unawaonea huruma, unawachukulia kama wajinga wakati na wao wanajitambua vizuri tu.
1. Hapa sijaongelea wanaume kwa kuwalinganisha na wanawake bali nimeongea na sisi wanaume specifically bila kuwahusisha wanawake maana kila siku mbona huwa tunawapa makavu hapa. Ila kuna upande wa wanaume pia ambao wanatia hawa wanawake irresponsible why sasa umkojolee ndani na unajua anaweza beba mimba?

Kwann usibebeshe ujauzito mtu ambaye una uhakika huyu hata akibeba mtoto wangu nitaweza kuishi nae hata kama ilikuwa ni ajali. Unazaa na mtu hadi wazazi wako wanajiuliza walikosea wapi kwenye malezi yao hadi uwaletee kituko kama huyo mwanamke wako?

2. Wanawake tukubaliane tu hawana uwezo wa kujisimamia na upuuzi wao tunauona kwenye maamuzi yao kila siku. Sasa why tunawachagulia watoto wetu sampuli za hovyo za mama. Unaona kabisa huyu demu ni kilaza ila sababu mtamu unamkamulia tui la nazi, hivi haujisikii hata huzuni mtoto wako atakapokuja na akute huyo ndie mama uliyemuwekea? [emoji848]

Hapa sijawaona wanawake kama wajinga bali nimeavoid kuwaongelea kwenye uzi ili tufocus sisi wanaume tuambizane.
 
Kwenye suala la kubeba mimba mwenye maamuzi ni mwanamke
Ni kweli mwanamke ndie anaamua kubeba ujauzito wa nani. Hapa naongelea wanaume kutazama mama unayemletea mtoto wako, uwe fair basi.
 
Hapana bhna mapenzi yana nguvu

Kumbuka mwanaume anaweza mtamani mwanamke na mwanamke akazama kwenye penzi akiamini kuwa ndiye mume kumbe mwanaume yupo kutimiza haja zake

Na kuna wanaume wana wadanganya wanawake wakibeba mimba atamuoa akibeba tu anachimba zake

Hapo kosa la nan?
Eti bwana
 
Kuna mwanamke ukiwa naye kwenye kwenye mahusiano/uchumba unajisemea "huyu mke kabisa."
OA ujionee, hakuna rangi utaacha ona.
Hii ni kweli, sasa ikitokea kwann unamuacha na mtoto? Yaani wewe umeshaona hii ni changamoto unamuacha na mtoto, why usibebe mtoto wako ukalee huko kando? [emoji848]
 
Wanawake tukubaliane tu hawana uwezo wa kujisimamia na upuuzi wao tunauona kwenye maamuzi yao kila siku.
Utanisamehe ila huu ni usenge.

Kuwadekeza wanawake ni usenge.

Kwanini wasijisimamie, hawana akili?

Hili jambo haliwezi kuongelewa kwa jinsia moja tu, mimba zisizotarajiwa ni kosa la jinsia zote....

Wamewezeshwa wakapata haki zote kwa usawa ili tuje tuwadekeze?

Wajitambue!
 
jana natoka job ni near my home place. nakuta mama anamfokea mtoto wake.. asichezee viatu vibaya. maana amenunua sio mda . ana mwambia " ( acha kuchezea viatu na hata baba yako sijui yupo wapi ) madness. shame. sema i understand. maisha ni puzzle
 
Back
Top Bottom