Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

siwezi kuitwa mama wakati naonakabisa siko tayari kwa hilo kama mwanaume wangu hajui n jukum langu kuhakikisha tunacheza salama
 
Kuna trend ambayo inakuwa kwa kasi kwa mabinti kupenda kuzaa na waume za watu kisa wanahela na unakuta binti anajua kwamba huyu yupo kwenye ndoa na unaweza ukakuta yupo mtu anaye muhitaji na kishaonesha nia ya kumuoa,hana pesa nyingi, ila uwezo wa kumpatia MAHITAJI YAKE YA MSINGI ANAO.Ila yy anakomaa na mume wa mtu sababu tu ya LUXURY hizo ambazo baadae huja kujutia,wengine hujipa moyo na kutumia njia za kilozi ili avuruge ndoa ya mtu.

Kuna mabinti wanne wadogo kitaa,wakati wamezalishwa walikuwa below 20,wote wamezaa na waume za watu na wote sasa hivi single mother na wanaume walio wazalisha hawana time nao. Kuna mmoja alikiwa ana battle kabisa na mwenye mume,mpaka unajiuliza anajiamini nini.

Na wanaume waliopo kwenye ndoa ni wanawindwa sana na wanawake.
 
Tatizo watoto wenu wa kike hawana maadili na akili katika ndoa mpaka wazae zen akiolewa ndio anajua thaman ya ndoa
 
Jukumu la kulinda afya ya mwili ni la kila mmoja,

Haiwezekani nilale na mwanamke tulane pekupeku then anipe ukimwi afu nimlaumu kanipa ukimwi, it makes sense? Wakat ni ujinga wangu kutokutumia kinga, [emoji57]
 
Umeongea kwa uchungu sana 🤣🤣🤣
 
Na Kuna wanawake wanabeba mimba kama chambo cha kumkamata mwanaume ili amuoe wakati kumbe mwanaume alikuwa anapita tu.
Ukiheshimu mbegu zako huwezi zigawa hovyo. Wewe unajua kuwa huna mpango nae, tumia kinga au hakikisha kameza P2 au fanya lolote asiwe mama wa mwanao.
 
Hata mwanamke huwez enda date siku za hatari utoke salama labda uwe na uzazi wa kutafuta
Mimi huwa sijali kuhusu mwanamke, yupo siku za hatari, yupo siku salama kama sitaki kuzaa nae nitatumia kinga au atameza P2 kama ikitokea ilipasuka. Akili za wanawake wanazijua wenyewe huwezi risk kumwachia mbegu, anaweza kukupa mshtuko.
 
siwezi kuitwa mama wakati naonakabisa siko tayari kwa hilo kama mwanaume wangu hajui n jukum langu kuhakikisha tunacheza salama
Sawa. Vizuri wewe ni miongoni mwa hao ambao wako responsible kama nilivyo andika. Wengine hawako responsible. Na kuna wengine wako responsible pia ila kuna baadhi ya mechi wanapitiwa na utamu. Jambo zito hili nakwambia. Wasomi na wasio wasomi wote kuna baadhi yao wanapitiwa baadhi ya mechi, especially akipata siku hiyo utamu ambao maybe hajawahi kuupata ama ni miongoni mwa tamu na nzuri chache ambazo kakutana nao na hata piiituuu wanazijua sana tu.

Narudia "jambo zito hili" na "binadamu ni wabishi sana".
 
tuache
 
adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe.....ukiwa haujalewa utanielewa vizuri.

hakuna mtoto atazaliwa kama mwanamke hajataka.....pia wanawake kabla hata ya kulala na huyo mwanaume huwa wanajua kama huyu anaweza kulea au atanikimbia.....ila ni uzembe na ile mentality yao kwamba atabadilika.
 
Kwani mimba hadi iingie inabidi upige mara ngapi? Ni uzembe ndio nachokiona
Ni uzembe, lakini mara nyingi binadamu tunafanya vitu bila kuwaza mbele, tunajali furaha ya sasa.

Ni asili yetu, ndo maana kuna walevi, wezi, watoto wa nje ya ndoa nk

Ni suala mtambuka halitatuliki, linamhusu kila mtu pasi kujali jinsia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…