Wanaume acheni matumizi nyumbani mtapigiwa

sema wanawake wengine sio wavumilivu ukute Hali ya mme wake anaijua .....Kuna muda kma sisi wanaume Mambo yanaenda vibaya
Umeongea vyema
Kuishi na mwanake kunataka akili
Akat anawekwa ndani istoshe alijua hali ya mwenzi wake ndio maana kuna shida na raha
Hata sie sijui tupo kwenye mishahara kunao siku mambo yanakataa je, ndio tuingie kwenye fedheha hiyo!?
 
Wakati mwingine ni kweli wana njaa, wakati mwingine ni waongo, kuna wanaopanga na wanaume zao kutengeneza fumanizi. Mwanamke ambaye mumewe hampi fedha akaja kwako jirani mshauri akashtaki ustawi, dunia imeharibika hii.
 
Wapi nimefurahia hapo kwenye uzi.
Nakuambia sababu mi ndo huwa nawatumia wadada namna hiyo... Then nakuja na jamaa zangu na kopo kubwa la Vaseline... Wale jamaa wanakupaka mafuta mengi... Mwingine anachukua video. Hapo ndo basi tena....so epuka sana hiyo mitego. Usije sema hukuambiwa.
 
Anataka kukuingiza kingi tu. Hii ni gea wanayotumia wanawake wenye kuchapuka. Ni njia zao za kutongoza wanaume. Hawa hawa ukiwaachia laki kila siku ni watatafuta bwege wa kumwingia.
 
Yaani inawezekana mumewe yupo ktk wakati mgumu,wamepisha kauli au anataka atumie njia hiyo ili akunase kuwa,makini

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
kama mkeo hana Mungu moyoni, hata ukiacha milioni ataitumia kuhongea serengeti boys tu. usidanganyike.
 
Aha kumbe nikajua pepo kaludi tuanze kukemea keshoo ufenge usile mpaka ijumaa[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1][emoji1][emoji1]Bro hapa chakula home kitamwagwa alafu ni adim sana
Labda niwe nafunga wakati wa kulala au sio
Alafu kuna kitu nimekiona sitaki watu wa mwandiko wafike huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
 
Mimi nisha wazoea hao mimi mwalimu wangu alikuwa kipofu sasa ningejuaje kuandika vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe funga mchana upunguze kitambi iko utaki pic kali
 
Mimi nisha wazoea hao mimi mwalimu wangu alikuwa kipofu sasa ningejuaje kuandika vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe funga mchana upunguze kitambi iko utaki pic kali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we umeninyia binamu
Alafu acha kuniingiza majaribuni.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tushafanya maombi tayar
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we umeninyia binamu
Alafu acha kuniingiza majaribuni.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tushafanya maombi tayar

Dah nishasau ase [emoji23][emoji23][emoji23] pole kumbe pic kali ushasema hukuli tena wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…