Wanaume acheni matumizi nyumbani mtapigiwa

Wanaume acheni matumizi nyumbani mtapigiwa

Wanaume acheni hela ya matumizi nyumbani mtapigiwa sana. Hapa kuna ke ya mtu nafahamiana nayo inaniambia Mr katoka leo hajaacha kitu kwahiyo ni msababishe apate kula mchana. Au ni mtego huo kwani ameshindwa kumwambia Boss wake?

Sitaki mazoea kabisa na SUMU mambo ya kufahamiana yaishie hapo.
Subili kidg narudi kutoa tamko.
 
Mwanamke wa mtu akianza kukuelezea mabaya ya mumewe ukamsikiliza ukamuonea huruma utaharibu, ~Denis Mpagaze
 
Nakuambia sababu mi ndo huwa nawatumia wadada namna hiyo... Then nakuja na jamaa zangu na kopo kubwa la Vaseline... Wale jamaa wanakupaka mafuta mengi... Mwingine anachukua video. Hapo ndo basi tena....so epuka sana hiyo mitego. Usije sema hukuambiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vitisho tu. Mwache mwamba asuuze rungu
 
Kwahiyo na yule Dc wa kisarawe enzi za ujima mzee baba alikuwa haachi pesa ya matumizi?, Mbona mbubusi ilikuwa inapigwa vunja kabati?. Uhuni na umalaya ni nature ya baadhi ya wanawake, kuna wanawake ni wakishua lakini wanapasuka kwa mabaharia...... Achana na kiumbe mwanamke.
 
Back
Top Bottom