Jestina; hazina akili!!! utaitelekezaje familia yako kwa penzi la kimada???

mbona wanawake tunacheat ila hata siku moja hatutelekezi watoto tuliowazaa....???au kwa vile hamzai kwa uchungu kama sisi hivyo hamna uchungu na watoto wenu wenyewe???...................................

na nyie baadhi ya wanawake huwa mnafikiria nini mpaka mnaamua kuwateka waume za watu kiasi cha kusahau familia zao? i mean watoto wa huyo baba wamekukosea nini mpaka uwanyan'ganye love and care ambayo wanadeserve kutoka kwa baba yao?????

ningekuwa na uwezo ningewatandika wanaume na wanawake wote wenye tabia hii bakora,sisi kama taifa kama tunataka jamii inayoendelea lazima tuanze kwenye ngazi ya familia!!!!broken family means broken nation hatuna ushirikiano katika kulisukuma gurudumu la maendeleo kisa wapuuzi wachache....tuchapane bakora kwa kweli kukumbushana wajibu wetu!

Na wewe unafaa kutandikwa bakora kwa kuwa cheater maana nayo siyo tabia njeama japo kuwa mdomoni mwako unasound kama kitu cha kawaida! Hauna unafuu kati yako na hayo makundi yenye tabia uliyoyahainisha hapo juu.