Iza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2009
- 2,045
- 643
:target::target::target::target::target:
.
acha matusi kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.
acha matusi kijana
Kwahiyo wanaume waliooa ni wasafi, au wake zao ndio wasafi?
Sema wanaume wengi, au baadhi ambao hawajaoa ni wachafu, ila sio wote. Kama wewe umeona na ulikua mchafu enzi zako, basi sio kila mtu ni mchafu.
AlishajibuWanaume mliofikia umri wa kuoa, oeni bwana muwe wasafi...
NB; Sio wanaume wote ambao hawajaoa ni wachafu...