Iza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2009 Posts 2,045 Reaction score 643 Aug 5, 2010 #21 :target::target::target::target::target: jilala said: . acha matusi kijana Click to expand...
Iza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2009 Posts 2,045 Reaction score 643 Aug 5, 2010 #22 Duh umenikumbusha enzi za Mabibo hostel block E na Main Campus Hall 2...ni balaa Sasa shughuli ndo mmenda kudiscuss lazima muhame...
Duh umenikumbusha enzi za Mabibo hostel block E na Main Campus Hall 2...ni balaa Sasa shughuli ndo mmenda kudiscuss lazima muhame...
GM7 JF-Expert Member Joined Jun 26, 2009 Posts 492 Reaction score 24 Aug 5, 2010 #23 Ramthods said: Kwahiyo wanaume waliooa ni wasafi, au wake zao ndio wasafi? Sema wanaume wengi, au baadhi ambao hawajaoa ni wachafu, ila sio wote. Kama wewe umeona na ulikua mchafu enzi zako, basi sio kila mtu ni mchafu. Click to expand... Wanaume mliofikia umri wa kuoa, oeni bwana muwe wasafi... NB; Sio wanaume wote ambao hawajaoa ni wachafu... Click to expand... Alishajibu
Ramthods said: Kwahiyo wanaume waliooa ni wasafi, au wake zao ndio wasafi? Sema wanaume wengi, au baadhi ambao hawajaoa ni wachafu, ila sio wote. Kama wewe umeona na ulikua mchafu enzi zako, basi sio kila mtu ni mchafu. Click to expand... Wanaume mliofikia umri wa kuoa, oeni bwana muwe wasafi... NB; Sio wanaume wote ambao hawajaoa ni wachafu... Click to expand... Alishajibu
Papizo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 4,951 Reaction score 1,446 Aug 5, 2010 #24 Kwanza kabla ya yote na hatujafika mbali,Kwanza wewe ni kaka au dada??Ukijibu hili swali then tuta go on na topic!
Kwanza kabla ya yote na hatujafika mbali,Kwanza wewe ni kaka au dada??Ukijibu hili swali then tuta go on na topic!