Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Hongera kwa kujitambua
 
Oohh bora umejisemea wewe na wanaume wa hivyo mko wachache. Hawa tunaowaongelea hapa ambao hawataki kutoa hela ila kupikiwa na kufuliwa wanapenda ndiyo wako wengi sasa.
 
Oohh bora umejisemea wewe na wanaume wa hivyo mko wachache. Hawa tunaowaongelea hapa ambao hawataki kutoa hela ila kupikiwa na kufuliwa wanapenda ndiyo wako wengi sasa.
Sasa hao vilaza , achana nao, wasikuumize kichwa.

Maisha yana mambo mengi sana, sasa uanze kupoteza muda kwa hao vizibo, huko ni kujifanyia unyanyasaji wa hiari
 
Sio rahisi, we unadhani itakuwa rahisi kwake mkuu? Sio kwamba hajui ila roho ikishapenda tall handsome and black huwa mna stack!

🤣🤣🤣 Ni matukio tu hadi atapopewa kadi ya mualiko.
😂😂😂 Ngumu sana kuchomoka hapo, i 've been there so naelewa vizuri.
Hapo ni kufanya maamuzi magumu tu otherwise itakua hatari
 
Sasa hao vilaza , achana nao, wasikuumize kichwa.

Maisha yana mambo mengi sana, sasa uanze kupoteza muda kwa hao vizibo, huko ni kujifanyia unyanyasaji wa hiari
Teh tatizo wanaume wachache na wanawake ndiyo kama hivyo wanataka kuolewa
 
Jiongeze sa ingine mimi ukipiga kimya nami napiga kimya najua nshapata mwanamke wa ndoto zangu asiyeomba hela maana wote niliokuwa nao walinifanya benki ya dunia ukijumlisha na shirika la misaada duniani
😂😂😂 Nimechekaaaaa et mwanamke wa ndoto zako
 
Hili nalo tatizo
 
Yaan huwezi amini, anakuaga na unaondoka Kama ulivyokuja, sijawahi ona hi, na akikuaga anakwambia ukifika nijulishe[emoji4]
Unawahi kuona hiyo wapi? Kwenye mahusiano yako yaliopita? Vp kwenye sex unampa bila kusita sita ...coz unaweza kuta maybe unambania so na yeye anahofia kujiachia mazima kwko.... C unajua nyie hamtabiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…