Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Huyo baharia ni nyoko! 🀣🀣🀣 Mama unajichelewesha
 
Kuna risk kubwa ya kupotezewa muda hapo. Unajipa hope kesho atabadilika until unaachwa solemba kwa kadi ya mualiko!

Sijui kwanini wanawake hawapendi wanapopendwaga.
Hapo kwenye kupotezewa mda sasa, ni kua makini tu aisee. Mtu unamsoma kabisa mwanzoni ukiona sio basi unachkua 50 zako maana kumbadilisha mtu mzima ngumu sana
 
Kwahiyo mkuu wewe ukimuita mpenzi wako kwako akaja akakuta nyumba chafu nguo chafu vyombo vichafu chakula hakuna akaja mkafanya yenu akaondoka bila kufanya chochote kama vile kaja hotelini utaona poa tu na wala hautakuwa na kinyongo siyo
Alimradi kanipa tunda hayo mengine sio ishu. Ntamlipia boda boda na hela ya P2 aende akanunue ameze akifika kwao!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kukojoa si wanakojoa wote ? nyege si wote wanapungukiwa ?
acha jamaa amalizie kujenga
Zesh nawe vipi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…