Sasa kama hujazoea kuomba mbona umekuja kuomba ushauri huku.au mimi ndo sijaelewa.Wengine hatujazoea kuomba jamanii
Hapo ndo wanawake mnapokoseaga.Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?
Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?
Yupo radhi akuonyeshe kiatu Cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.
Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi Sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.
Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?
Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.
Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Tafuta muda mzuri, muelezee kwa upole, ikiwa hatakuelewa basi chukua maamuzi yako.Hajawahi Best
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Mwenzako anataka hela, mapenzi hata kwa jamaa ake anapata.Njoo kwangu mama, nitakupa mapenzi yote, utaishi hapa duniani kama peponi
Karibu pm ipo wazi
Majibu ni kuwa anajenga
Watu wanapataga wapi wanawake kama hawa?Yaan huwezi amini, anakuaga na unaondoka Kama ulivyokuja, sijawahi ona hi, na akikuaga anakwambia ukifika nijulishe[emoji4]
Achana nae huo ni mzigoHajawahi Best
Ni mpare Mkinga au Mmarangu?Alishawahi Kama Mara tatu hivi, mwanzon mwa mahusiano
Sasa unataka akuhudumie hela za nini?! au wewe kwanini usimpe hizo hela pia?Kivip mkuu?Mimi ninaishi kwa level yangu kabisaaa,Wala sijapretend maisha
Wewe ulishawahi mfanyie/mnunulia nini?Inawezekana aisee so inabidi nijiongeze
Kiongozi unataka ulingane na wanawake kimajukumu mkuu?Sijui nani alileta Mfumo tegemezi wa wanawake kwa wanaume
Kwani we huna Mikono?
Si ufanye kazi?
Kwani we kwanini usimpe unategemea kupewa? Mnajishusha Sana wanawake, !!!
Ndugu dada yangu/mdogo wangu mwanaume ambaye hakuonyeshi mapenz kipindi hiki usitegemee kwamba atabadilika, instead hakupendi ila anakutumia. Kufanya maamzi magumu ni ww kusuka au kunyoa, inategemean na ww unataka future yako iwe je. Ila sidhani kama ni nzuri kwa mtindo huo, though uzuri wa kitu ni too relativeNajua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.