Lerionka ole saidimu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 296
- 279
Kwa Hussen Pamba kali si umeona anamuulizaga mrembo moka ipi atungue itakayompendeza? Na pia anajenga Mbweni huko.Kuna mahali anapeleka hela hizo
Mi namwambia aje kwangu sura ya Ugwadu nimpe maisha anajifanya haoni mualiko π€£π€£π€£ anataka kupambania maumivu kwa Hemedi PHDMnaingiaga mikenge Sana na watanashati..
Wengi wao very selfish..
Kiatu cha laki mbili halafu mpenzi hata nauli hampi?..
Atakua akukosha moyo na anavyo vaa na u handsome wake...ukimpost watsaap unajiona
Umepata ...huku unaumia kimyakimya..
Akija jamaa Sura personal..kiatu cha elfu kumi
Hata salam hupokei kumbe ana uwezo wa kukujali mara tano ya huyo
Sijui wanaume wengine mnakwama wapi.Kumpa mtu kitu huwa hakulazimishwi ila kumpa mtu kitu kunaonyesha appreciation. Mf.amekuja geto kwako kwa mara ya kwanza.unatakiwa ujiongeze hata kwa kununua zawadi.na zawadi huwa ni kitu chochote ila kama hujafanya hivyo anapokuaga mpe hata nauli ya kurudia bas kama huna pesa.Kuitwa geto haimaanishi umeitwa kufua.
Kama ukitaka kufua fua at your own cost sio ufue utegemee mwanaume akupe malipo in terms of cash
Kwahiyo mkuu wewe ukimuita mpenzi wako kwako akaja akakuta nyumba chafu nguo chafu vyombo vichafu chakula hakuna akaja mkafanya yenu akaondoka bila kufanya chochote kama vile kaja hotelini utaona poa tu na wala hautakuwa na kinyongo siyoKuitwa geto haimaanishi umeitwa kufua.
Kama ukitaka kufua fua at your own cost sio ufue utegemee mwanaume akupe malipo in terms of cash
Napambana haswaaa ndugu yanguHapo dawa sio kulalama, nawe tafuta pesa zako ndio utakua mlango wa yeye kuanza kukupa izo pesa unazo lalama.
Mbona hata mke akileta huo uvivu akiwa kwake bado mnalalamikaSasa si unagombea jimbo? Jitume ukishapita utaleta uvivu ukiwa kwako.
Hamna lolote kwa mke mwenzie bi dada tuKwa Hussen Pamba kali si umeona anamuulizaga mrembo moka ipi atungue itakayompendeza? Na pia anajenga Mbweni huko.
uwe na pesa ya vocha kama huna hajiNjoo kwangu mama, nitakupa mapenzi yote, utaishi hapa duniani kama peponi
Karibu pm ipo wazi
Haya Kipangaspecial unaona sasaSwali zuri Sana , ata huyu bahili anapendaga sana
π€£π€£π€£ DaaaaKwa Hussen Pamba kali si umeona anamuulizaga mrembo moka ipi atungue itakayompendeza? Na pia anajenga Mbweni huko.
boss utamuua mrembo, mbona unampasua kama chainsaw kwenye mmbuyu! πππ Mkaukie mzee baba!Wewe sio main chick yupo ambae anasubiri nyumba iishe wahamie
Akileta uvivu mjengoni atapigwa atachakaa πππ!!!Mbona hata mke akileta huo uvivu akiwa kwake bado mnalalamika
boss utamuua mrembo, mbona unampasua kama chainsaw kwenye mmbuyu! πππ Mkaukie mzee baba!
Chumvi ya Nini mamdenyi?sijakuelewaChumvi inahitajika kwako mjukuu.
Yaani yeye akukule tu, haaa
Anadate na zombie huyu, utakuta bado yupo nae!!!Yaan tangia muanze mahusiano hajawahi kukupa hata mia?? Hata ile ya nauli ya kuzugia?
Kwa kuongezea tu je, chura unayo my wangu? Yani una mvuto wa kisura na kimwili?Acha aongee ukweli ,ata Mimi jimestuka ndio maana nimeokuja kuomba ushauri
Oohh basi ili asilete uvivu ndiyo itakubidi umhudumie sasaAkileta uvivu mjengoni atapigwa atachakaa [emoji16][emoji16][emoji16]!!!
Kwa kuwa hilo ni swali umeniuliza mimi binafsi nami nitalijibu kibinafsi.Kwahiyo mkuu wewe ukimuita mpenzi wako kwako akaja akakuta nyumba chafu nguo chafu vyombo vichafu chakula hakuna akaja mkafanya yenu akaondoka bila kufanya chochote kama vile kaja hotelini utaona poa tu na wala hautakuwa na kinyongo siyo
Ushakuwa mke unataka niamke nikajipikie chai? Kaa mbali na ndoa!πππOohh basi ili asilete uvivu ndiyo itakubidi umhudumie sasa