WAnaume baadhi tumekua waajabu

yusuf57

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
322
Reaction score
665
Yan mwanaume mwenzio anaweka Uzi wake anatafuta maybe rafiki ...chakushangaza wanaoponda n wanaume pia tena mshaanza kutumia viwembe...
...nlitegemea kuona wanawake wakikoment na hata kama n mwanaume ukikoment comment kitu chenye mashiko ....

Mm n mgeni huku ila wakuu huu n us***nge ...

NDO MAANA USHOGA HAUISHI

samahan nlowakera
#JfNguvuMoja
 
 
Pole sana ivumilie JF ndivyo palivyo... Lakini pia kuna makosa uliyafanya kwenye post yako iliyopelekea kuandika huu Uzi... Uliweka picha yako yenye mapozi.. Hiki kitu nice nadra hapa
Cha muhimu hapa JF hushika na ulichopost usihangaike na replies za wachangiaji... Mjibu unayeona anafaa kujibiwa... Hutaweza kubishana na mtu usiyemjua kwa sura wala jina
 
mkuu
mkuu umenena yaani inapelekea wengine wanaona kama joke coz sometime mm napita tu kukagua gwaride.
 
Mkuu hata ningeweka nabeba zege bado wangesema tu
 
Reactions: Sax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…