WAnaume baadhi tumekua waajabu

WAnaume baadhi tumekua waajabu

yusuf57

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
322
Reaction score
665
Yan mwanaume mwenzio anaweka Uzi wake anatafuta maybe rafiki ...chakushangaza wanaoponda n wanaume pia tena mshaanza kutumia viwembe...
...nlitegemea kuona wanawake wakikoment na hata kama n mwanaume ukikoment comment kitu chenye mashiko ....

Mm n mgeni huku ila wakuu huu n us***nge ...

NDO MAANA USHOGA HAUISHI

samahan nlowakera
#JfNguvuMoja
 
Pole sana ivumilie JF ndivyo palivyo... Lakini pia kuna makosa uliyafanya kwenye post yako iliyopelekea kuandika huu Uzi... Uliweka picha yako yenye mapozi.. Hiki kitu nice nadra hapa
tapatalk_1563210685548.jpeg

Cha muhimu hapa JF hushika na ulichopost usihangaike na replies za wachangiaji... Mjibu unayeona anafaa kujibiwa... Hutaweza kubishana na mtu usiyemjua kwa sura wala jina
 
mkuu
Yan mwanaume mwenzio anaweka Uzi wake anatafuta maybe rafiki ...chakushangaza wanaoponda n wanaume pia tena mshaanza kutumia viwembe...
...nlitegemea kuona wanawake wakikoment na hata kama n mwanaume ukikoment comment kitu chenye mashiko ....

Mm n mgeni huku ila wakuu huu n us***nge ...

NDO MAANA USHOGA HAUISHI

samahan nlowakera
#JfNguvuMoja
mkuu umenena yaani inapelekea wengine wanaona kama joke coz sometime mm napita tu kukagua gwaride.
 
Pole sana ivumilie JF ndivyo palivyo... Lakini pia kuna makosa uliyafanya kwenye post yako iliyopelekea kuandika huu Uzi... Uliweka picha yako yenye mapozi.. Hiki kitu nice nadra hapa View attachment 1154383
Cha muhimu hapa JF hushika na ulichopost usihangaike na replies za wachangiaji... Mjibu unayeona anafaa kujibiwa... Hutaweza kubishana na mtu usiyemjua kwa sura wala jina
Mkuu hata ningeweka nabeba zege bado wangesema tu
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Back
Top Bottom