Wanaume badilikeni, mbona wagumu hivi

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,171
Ifikie mahali sasa watu waende na wakati,mwanaume akitongozwa na mwanamke anaona kama vile mkosi,wakati mwingine anahisi au huyu mwanamke jini,au katumwa,au ana ngoma anataka kuniambukiza,au usalama wa taifa anatafuta kuning'oa kucha,au malaya.

wanaume badilikeni hii ni karne ya kidigitari kila mtu anahitaji kujiexpress feeling zake kwa mwezake.

Ukitongozwa toa ushirikiano kwa anayekutongoza kikamilifu.

Express yourself !!!!
 
Tatizo unatongoza kina Simon Petro, hebu njoo kwangu ODM, nichekeechekee tu wala huna haja ya kunitongoza. hakika mimi na wewe tutakuwa without ndani ya nusu saa, kidogokidogo tukinyatanyata.

Mianaume mingine mizembe kama soksi ya Museveni. keimamae zao na robo.
 
..Mwanzo nilihisi ka mkosi vile, lol..
saivi hadi raha....!
 
tuloweke..
hembu jaribu kwangu nione kama nakuwaga mgumu
 
Teh teh kutongoza kipaji ati sasa kama unaenda unamtongoza men uku wang'ata vidole wafikiri atakuelewa kweli hahahahah
 
Ukweli mara nyingi mwanamke ndio hulianzisha na mwanaume anafanya kumalizia tu japo tunajisifu kwa kuopoa!! Tatizo wanaume wengi hatujui kusoma alama za nyakati. Mtu kajipitisha na kafanya yote lakini mtu huelewi tu. Hakuna cha ajabu mwanamke kumtaka mwanaume!
 
...can you start with me!
Niliwahi kukataa once but this time i wont let anybody down, i promise!
 
Mmmmmmmmmh! Hivi unaanzaje kumtongoza dume lenye midevu? We fisi umkabidhi bucha hata kama kashiba atataka kuonja!

Mimi nashauri bora tu umtege tege tu mwanaume, unatoa invitation to treaty kiutu uzima, asipokusoma basi!
 
Hahahah umenchekesha kweli....ngoja na mimi nianze kufunguka ila naanza na mumeo lol...
 
Hiyo in RED ndio tongoza ya mwanamke. Lakini wasomaji "signal" ndio majanga!
 
Hahahah umenchekesha kweli....ngoja na mimi nianze kufunguka ila naanza na mumeo lol...
Whaaaaaaaat? I trust my man! We jishebedue huambilii hata FREE P za kupooza koo kidogo! Hahahaaaaaaa!
 
Ukishindwa sema nae taratibu kwa watu wa karibu yake c unajua wapambe nuksi wanapenda hizo kazii
 
Usijali sana hata kina dada wengine wanahisi kuwa na mikosi wanapotingizwa na baadhi ya wanaume. Uzuri sisi wanaume ukikataliwa na mtani wa jadi unasonga mbele kutafuta mwingine atakayeelewa somo. Cha muhimu usiwekeze sana kwa mtu mmoja uwe unaweka na asilimia (kama 50% hivi) ya kukataliwa.
 
Nikawaida tu mwanamke kukutongoza. Kama hujaridhika naye usimwambie kavukavu kuwa sijakupenda. Mwambie sawa wazo/ombi lako nimelisikia ngoja nikafikirie nitakupa jibu. Ukimzungushazungusha mara kadhaaa atakata tamaa. Kuna hatari ya kumwambie wazi kuwa sikupendi
 
nyie endeleeni kurembaremba tu..mi ikitokea huwa sijui kuwakatalia wanawake... WAACHENI MABINTI WAZURI WAJE KWANGU KWA MAANA HUU MWILI NI WAO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…