Ifikie mahali sasa watu waende na wakati,mwanaume akitongozwa na mwanamke anaona kama vile mkosi,wakati mwingine anahisi au huyu mwanamke jini,au katumwa,au ana ngoma anataka kuniambukiza,au usalama wa taifa anatafuta kuning'oa kucha,au malaya.
wanaume badilikeni hii ni karne ya kidigitari kila mtu anahitaji kujiexpress feeling zake kwa mwezake.
Ukitongozwa toa ushirikiano kwa anayekutongoza kikamilifu.
Express yourself !!!!
wanaume badilikeni hii ni karne ya kidigitari kila mtu anahitaji kujiexpress feeling zake kwa mwezake.
Ukitongozwa toa ushirikiano kwa anayekutongoza kikamilifu.
Express yourself !!!!