leonardo da vinc
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 1,108
- 732
nyie endeleeni kurembaremba tu..mi ikitokea huwa sijui kuwakatalia wanawake... WAACHENI MABINTI WAZURI WAJE KWANGU KWA MAANA HUU MWILI NI WAO.
Whaaaaaaaat? I trust my man! We jishebedue huambilii hata FREE P za kupooza koo kidogo! Hahahaaaaaaa!
PumbavuIfikie mahali sasa watu waende na wakati,mwanaume akitongozwa na mwanamke anaona kama vile mkosi,wakati mwingine anahisi au huyu mwanamke jini,au katumwa,au ana ngoma anataka kuniambukiza,au usalama wa taifa anatafuta kuning'oa kucha,au malaya.
wanaume badilikeni hii ni karne ya kidigitari kila mtu anahitaji kujiexpress feeling zake kwa mwezake.
Ukitongozwa toa ushirikiano kwa anayekutongoza kikamilifu.
Express yourself !!!!
KipoUkweli mara nyingi mwanamke ndio hulianzisha na mwanaume anafanya kumalizia tu japo tunajisifu kwa kuopoa!! Tatizo wanaume wengi hatujui kusoma alama za nyakati. Mtu kajipitisha na kafanya yote lakini mtu huelewi tu. Hakuna cha ajabu mwanamke kumtaka mwanaume!