Wanaume badilikeni, mbona wagumu hivi

Wanaume badilikeni, mbona wagumu hivi

nyie endeleeni kurembaremba tu..mi ikitokea huwa sijui kuwakatalia wanawake... WAACHENI MABINTI WAZURI WAJE KWANGU KWA MAANA HUU MWILI NI WAO.

Mkuu kuna mwingine anaweza asiwe na vigezo unavyovitaka
 
Ifikie mahali sasa watu waende na wakati,mwanaume akitongozwa na mwanamke anaona kama vile mkosi,wakati mwingine anahisi au huyu mwanamke jini,au katumwa,au ana ngoma anataka kuniambukiza,au usalama wa taifa anatafuta kuning'oa kucha,au malaya.

wanaume badilikeni hii ni karne ya kidigitari kila mtu anahitaji kujiexpress feeling zake kwa mwezake.

Ukitongozwa toa ushirikiano kwa anayekutongoza kikamilifu.

Express yourself !!!!
Pumbavu
 
Ukweli mara nyingi mwanamke ndio hulianzisha na mwanaume anafanya kumalizia tu japo tunajisifu kwa kuopoa!! Tatizo wanaume wengi hatujui kusoma alama za nyakati. Mtu kajipitisha na kafanya yote lakini mtu huelewi tu. Hakuna cha ajabu mwanamke kumtaka mwanaume!
Kipo
 
Back
Top Bottom