Leo asubuhi nimefika ofisini nakuta my co worker analalamika, jana kapanda daladala ilikua imejaa kiasi, watu walikua wamesimama na nyuma yake alikuepo mwanaume,huyu kidume kila mara alikua anambanabana mno ingawa nafasi haikua finyu kiiiivo. walipokua wanakaribia kituoni mtu aliekua kakaa akamtahadharisha rafiki angu huyo kua asogee mbele maana kidume alikua anatoa mali zake ili amalize haja yake ya mwili hapo. kutahamaki na kugeuka anakuta njemba mtalimbo juu, dada wa watu akapiga kelele na kilichompata huyo kidume ni kichapo toka kwa watu.
jamani mi nauliza hivi hawa dunga kama wanavofahamika mtaani ni wehu,addicted to ngono au hawawezi kupata watu wao wakado hii kitu kwa ustaarabu au tatizo ni nini wandugu