wanaume DUNGADUNGA

wanaume DUNGADUNGA

katavi..............

kuna mwengine alikamatwa ana nguo za ndani za wanawake zapata 200 zote kaziiba! heheh hayamaradhi ya kingono yako ya kila aina kwa kweli...
then dunia imefika pabaya. sasa hivyo vyu..... i anaziwekajewekaje...jamani duniani kuna mambo.nlijua dunga wanawehuka kwa vile wanaona mtu kumbe wengine hadi kwenye nguo?
hapa akibabwa na nguo ya ndani atapewa kichapo cha ushirikina...... mh
 
Leo asubuhi nimefika ofisini nakuta my co worker analalamika, jana kapanda daladala ilikua imejaa kiasi, watu walikua wamesimama na nyuma yake alikuepo mwanaume,huyu kidume kila mara alikua anambanabana mno ingawa nafasi haikua finyu kiiiivo. walipokua wanakaribia kituoni mtu aliekua kakaa akamtahadharisha rafiki angu huyo kua asogee mbele maana kidume alikua anatoa mali zake ili amalize haja yake ya mwili hapo. kutahamaki na kugeuka anakuta njemba mtalimbo juu, dada wa watu akapiga kelele na kilichompata huyo kidume ni kichapo toka kwa watu.

jamani mi nauliza hivi hawa dunga kama wanavofahamika mtaani ni wehu,addicted to ngono au hawawezi kupata watu wao wakado hii kitu kwa ustaarabu au tatizo ni nini wandugu
Alikojolewa?
 
Back
Top Bottom