Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Kwanini mwanamke akiwa mwepesi kuingia line unapomtongoza huwa hawawagi na mzuka na ushawishi saana kama wale wanawake wanaozuga kukaza kaza nati kidogo na kuzunushana sana.
Any Thoughts [emoji189]....?
Kwa maana Nimekuwa napata hii experience na Nikikosa majibu inakuaje hivo....
Sent by anonymous user
Any Thoughts [emoji189]....?
Kwa maana Nimekuwa napata hii experience na Nikikosa majibu inakuaje hivo....
Sent by anonymous user