Wanaume ee...

Wanaume ee...

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
Kwanini mwanamke akiwa mwepesi kuingia line unapomtongoza huwa hawawagi na mzuka na ushawishi saana kama wale wanawake wanaozuga kukaza kaza nati kidogo na kuzunushana sana.

Any Thoughts [emoji189]....?

Kwa maana Nimekuwa napata hii experience na Nikikosa majibu inakuaje hivo....
IMG-20190403-WA0020.jpeg
IMG-20190308-WA0019.jpeg


Sent by anonymous user
 
kama ndo huyo kwa pic, afadhali tuu akuzungushe
 
Back
Top Bottom