Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Hapana, afahali unyonye matiti ya mkeo, umusaidie na pia unaimalisha ndoa, ila angalia Sana, chumvini usijaribu, labda kama mkeo mmepima awe hana uwezekano wa kuwa na vimelea vinavyisababisha kansa ya mlango wa kizazi, hivi ndiyo vinauwezekana wa kusababisha kansa ya koo, take care.Huu naona mtego sasa mwanamke aokoke na kansa ya matiti mwanaume anapata kansa ya koo. Nitakula papuchi tu, nzi kufa kidondani sio hasara kabisa.😉
Kapicha kama haka au kawanao nyonyanaTanaweza kuona japo kapicha mkuu...sisi wengine hatujawahi ona hiyo!
Leo Nimekufuma Njoo Nikunyonye Tena Buree[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Nyooo cc Asprin
Kwa hyo kutakuwa na fursa ya biashara ya sidiria maana mengi yatakuwa na jeki maana yatakuwa ndala,maana hayanyonywi sana lakini wengi tena watoto wadogo wakivua tu yanafika kwenye kitovu!Muda mchache ujao wanawake watakua wakiwalipa wanaume ili wanyonywe matiti.
Kutokana na report ya mtandao wa BBC madaktari wanasema wanawake wanapunguza uwezekano wa kupata kansa ya matiti kwa kunyonywa sana matiti yao na kwa nguvu.
Kunyonywa Matiti kunapunguza hatari ambayo hutengeneza uvimbe ambao husababisha kansa ya matiti.
Matiti yanatakiwa yanyonywe mara kwa mara kwa kadri iwezekanvyo. Wasaidie wanawake zenu kupambana na kansa ya matiti.
Wanaume fanyeni kazi yenu nyonyeni matiti sasa, na wanawake kuweni wepesi kuachia kunyonywa.
Hii ni meseji toka wizara ya afya kusaidia mapambano dhidi ya kansa ya matiti.