tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
Tumekuwa tukiwashuhudia akina mama wakihangaika huku na huku wakitafuta njia mbalimbali za uzazi wa mpango au kufunga kizazi. Ni nadra kuwakuta akina baba wakijishughulisha na mambo hayo hata kama wanafikiri hawahitaji kuongeza watoto wengine. Ni muda mwafaka sasa wanaume kuchukua hatua na kufunga uzazi. Mwanaume anaweza kufunga uzazi na mambo mengine ya ndoa yakaendelea kama kawaida. Wana JF mpo?
Mwanaume afunge nini????
Aisee . . . .
Bila shaka wewe ni mwanamke, ingetamkwa na mwanaume ninge . . . . .
Kwani wanaume wakifunga kuna tatizo gani?
Hata kama hakuna tatizo, si rahisi mwanaume akubali.
Fanya risechi uone
Binafsi sishauri!Ila ulivyowakatalia wanaume ni kama vile ni sawa kwa wanawake kufanya hivyo!
Binafsi sishauri!Ila ulivyowakatalia wanaume ni kama vile ni sawa kwa wanawake kufanya hivyo!
ivi mkuu unatoka kijasho kujibu hii sredi?Mi nazungumza kama mwanaume na nimeshajaribu kuwauliza wenzangu kuhusu hilo. Ni asilimia 2 tu ya niliowahi kuwauliza ndio waliona ni vyema lakin sio wafanye wao bali wanaume wengine. Yaani kwa kifupi karibu wanaume wote hawakubaliani na hilo.
Kwa wanawake ishu ipo tofauti, wao tayari wapo wanaotumia madawa na hata wale wanaofanya operesheni ya kugeuza kizazi kabisa. Na utakuta wanafanya hivyo kuzuia wasishike mimba tena (kama ameshazaa watoto idadi anayotaka) na hivyo haoni sababu ya kuendelea kuzaa tena. Kwa mwanaume hata awe ameshazalisha watoto mia, na akaona wanatosha bado hawezi hata kuikiria kufunga risasi za bunduki yake.
Inagwaje hata wanawake wapo ambao hawtaki kufunga uzazi hata akimaliza kuzaa.
nazani ule wimbo "ahmada umelewa" unamhusu huyu mleta sredi.
Ngoja ntajaribu!Yaani hata ungeshauri bado ungepata wakati mgumu wanaume wengi kukuelewa.
Ni ngumu sana kumshawishi mwanaume rijali afunge uzazi wake
kama ni mdada basi nazani wimbo wa "mapepe" wa kingwendu unamfaa zaidini mdada mleta sredi
unauliza au unashangaa? nani mwalim wako wa kiswahili?Wafunge uzazi?!!
kama ni mdada basi nazani wimbo wa "mapepe" wa kingwendu unamfaa zaidi
Eti CPU asimamishe fank-shenalite ya prosesa yake ???????:nimekataa:nimekataa:nimekataa
Halafu libaki li-CPU lenyewe kama pambo la maua yale ya plastic sebuleni????!!!!
Labda nizaliwe na akili za kunguni