Habari za leo waungwana.
Leo naomba tujadili hii kitu.
Duniani kote mwanaume halisi mwenye genes za kiume ndani mwake na tabia za kuwa mwanaume huwa hachagui aina ya mwanamke wa kuwa naye. Akichagua ni kwa sababu anataka kuwa na mmoja tu lakini kimsingi anaweza kuwa na mwanamke wa aina yeyote awe low class, high class, trendiest, High IQ au Low IQ. Awe wa mjini au kijijini.
Hii ni kutokana na kuwa mwanaume halisi ana uwezo na mbinu za kuishi nao wote kwenye makundi hayo. Anastahimili mikiki mikiki yote. Mbali zaidi ya hayo Mwanaume akiona mwanamke( jinsia ya kike) mwili lazima umsisimke, lazima uhisi kuna kitu cha tofauti kumepita. Yaani sensation zinakuwa intact.
Mwanaume halisi huwezi kukuta anahangaika na vumbi la mkongo wala viagra. Kwabi kitendo cha kumwona mwanamke tu ni ijinition ya kutosha kuwasha injini ya utendaji kazi mwilini mwake.
Unashangaa ukiona mwanayme amekufa na kuzimia kwa mwanamke ambaye wengi mtaona hana thamani, mathalani mwanamke kimbau mbau hana tako au sura yake sio kama zile za bongo movie. Lakini bado Mwanaume anatambua thamani yake
Uzuri wa mwannamke uko kwenye vitu vingi; sura,sauti, umbo, tabia na mwenendo.
Sura umepinda lakini 6x6 anakupeleka peponi na kukurudisha paradiso.
Mwanamke akiwa ndani ya nyumba hata ile kuingia na kutoka tu mwanaume anajishikia raha.
Mwanamke hata kutembea kwake tu kuna mvuto kwa wale wanaume halisi.
Mwanamke ana mambo mengi yakuvutia.
Unaweza kukuta anapayukapayuka lakini anavunja ndoa za watu mnaodhani wana wake wazuri. Utashangaa wanaume wanapishana kila wakati. Mwingine ni mlevi kujpindukia au hata anavuta bangi lakini utakuta mume wako na uzuri wako kahamia huko.
Je wewe mwanaume nini mtazamo juu ya mawanamke?
To me they are all beautiful creatures