Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Kuwa realistic my dia.Haina shida ukizoea kawaida tu...
Unajichanganya na watu maisha yanasonga
SawaKuwa realistic my dia.
kuwa single ni mtihani sana. Sema maneno ya kufariji ndio yanawafanya watu wawe single ila wakiwa vyumban mwao wanahisi kabisa kuna ubavu unakosekana. Labda kama hujawahi kuwa kwenye mahusiano tangu uzaliwe.
Sio kwamba wanataka kujua kazi yako bali wanaijua ila wanataka uhakika zaidi.Nasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?
Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.
Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.
Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.
Location : Kihangaiko Msata .
Ukimfata uwe na kitambulisho cha kuingilia getini maana mp lazima wakuzinguwe.Demiss Soon Nakufata
Haa...haaa..... huwa hatuna mahitaji ya kudumu kwa kila mwanamke mfano kwangu mimi kwa sasa nataka mwanamke mwenye mtoto tena aliyeumizwa na mwanaume ambaye naamini anaweza kuwa na adabu kwa jinsi unavyo mtunza mtoto wake na kuwa faraja kwake.Nasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?
Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.
Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.
Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.
Location : Kihangaiko Msata .
Haa...haaa..... huwa hatuna mahitaji ya kudumu kwa kila mwanamke mfano kwangu mimi kwa sasa nataka mwanamke mwenye mtoto tena aliyeumizwa na mwanaume ambaye naamini anaweza kuwa na adabu kwa jinsi unavyo mtunza mtoto wake na kuwa faraja kwake.
hivyo hawezi kukupigia simu saa nne kwa kuwa anajua haki za wanandoa na kingine ameshapevuka katika mahusiano hivyo anaadabu.
wakati mwingine wala hatukalili majibu yake inakuwa tu sehemu ya swaga!Basi vizur kumbe ila maswali hayo yananiboa
uwe unalala usiku!Asante nipo kwenye basi nasinzia hatar
Siuwambie tu kama una watoto nane na wajukuu wanne!Nasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?
Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.
Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.
Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.
Location : Kihangaiko Msata .
Huwaga tunapima kina cha maji.Nasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?
Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.
Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.
Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.
Location : Kihangaiko Msata .
Msitupangie namna ya kutongoza.Nasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?
Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.
Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.
Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.
Location : Kihangaiko Msata .
Huyu dem anapenda attention