Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina shida hakuna aliyekufa kwa kutokua na mwanaumeKama huna kazi utabaki single milele 😀😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?
Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.
Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.
Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.
Location : Kihangaiko Msata .
NiniLazima
Kaaaaah.....[emoji38][emoji38][emoji38]huwezi tibu mgonjwa bila kuchukua history yake
Hakuna mwayaHaina shida hakuna aliyekufa kwa kutokua na mwanaume
Ngoja nisome majibu yao .....wanakera kweli kweli
Kupitia Uzi huu naomba niwaambie zesh nasomaaaaaaaa kule pm swali la nafanya kazi gani silitaki
Ova
Ndio maana Kuna kitu inaitwa prescription. Lazima uchukue maelezo ya awali hivyo maswali kama una mtoto, una kazi, mda gani utakuwa free nk. huwa hayaepukikhuwezi tibu mgonjwa bila kuchukua history yake
Nataka nijue kama umetumika sana au la. Nataka nijue kama una mtoto ili nijipange kwa bajeti ya kumlea, nimependa boga na ua lake. Nataka nijue kama uko peke yako au kuna mwenzangu? Hamkawii kusema sina mme halafu unaanza kunficha uvunguni.Nasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?
Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.
Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.
Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.
Location : Kihangaiko Msata .
Basi Diamond alikuwa jasiri, alimbeba single mother na three boys na amemuacha akiwa na five kids.Ngoja nikupe Siri kiukweli Kama Ni TUnataka kukuoa hatupendi ma single maza.hata uwe mzuri kiasi gani hatutaki mizigo ya homosapiens wengine kila mtu apambane na Hali yake.ila Kama Ni kupita TU hatuchagui hata Kama uwe na watoto nane sisi tunakamua TU..Sasa naona hao wanaokuuliza hivyo itakuwa wanataka kukuoa ndo maana
Kuhusu kazi mbona ipo wazi wewe Ni muhudumu wa bar flan maarufu na mnakuwaga weupe nyie ma barmaid af watamu balaa na visketi venu mkitupia na viraba
duh, siku ya leo nilikuwa sijacheka ndo sahizi nimecheka. eti 'entry requirement'entry requirement za uhusiano. Huwezi ingia chuo bila credit [emoji2]