Wanaume hamuwezi kunitongoza bila kuniuliza una mtoto au unafanya kazi gani?

Wanaume hamuwezi kunitongoza bila kuniuliza una mtoto au unafanya kazi gani?

Nasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?

Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.


Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.

Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.

Location : Kihangaiko Msata .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Marekani wanawake weusiwengi Ni single mother na wanaume weusi hawataki kuoa wanawake weusi wanakimbilia weupe..

Why sababu wanawake weusi wakiiga fashion wameiga sasa fashion mpya zinazo trending bongo Ni pamoja na anal sex pamoja nakuwa single mother..

Ifahamike tu black woman marekani Wana stress sana.
Dada zetu ngono ya ujanani Ni game kama game nyingine be smart enough to play safe.... mwanaume ashiki mimba.
Tufanye ngono tu lakni mwanamke zaa na mumeo na usigesema mahusiano ya mke na mume Ni batili la hasha SI mwanaume sio Mwanamke ni mhm San kuwa na mwenzako maishani very important mnashare mazuri na mabaya ya dunia hii ilo utalijua ukifikisha miaka 40+
 
Wanataka kujipanga...

Kutongoza - swaga za aliye na mtoto na asie na mtoto ni tofauti kidogo...

Ila hayo maswali hata wanawake mnayo pia...


Cc: mahondaw
 
Mm nikubalie tu, wala sitaki kujua una watoto wangapi, wa kazi yako. Nawe pia usitake kujua kwa upande wangu
 
huwezi tibu mgonjwa bila kuchukua history yake
Ndio maana Kuna kitu inaitwa prescription. Lazima uchukue maelezo ya awali hivyo maswali kama una mtoto, una kazi, mda gani utakuwa free nk. huwa hayaepukik
 
Tunataka tujue kama una mtoto au watoto na mnaishije na baba watoto? Yupo hai au la!
Usije ukawa mguu nje mguu ndani.
Wanaume hatupendi ku-share sana. Tunapendana tujue tuko upande upi
 
Nasema mnachokitafuta mtakipata [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?

Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.


Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.

Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.

Location : Kihangaiko Msata .
Nataka nijue kama umetumika sana au la. Nataka nijue kama una mtoto ili nijipange kwa bajeti ya kumlea, nimependa boga na ua lake. Nataka nijue kama uko peke yako au kuna mwenzangu? Hamkawii kusema sina mme halafu unaanza kunficha uvunguni.
 
Ngoja nikupe Siri kiukweli Kama Ni TUnataka kukuoa hatupendi ma single maza.hata uwe mzuri kiasi gani hatutaki mizigo ya homosapiens wengine kila mtu apambane na Hali yake.ila Kama Ni kupita TU hatuchagui hata Kama uwe na watoto nane sisi tunakamua TU..Sasa naona hao wanaokuuliza hivyo itakuwa wanataka kukuoa ndo maana
Kuhusu kazi mbona ipo wazi wewe Ni muhudumu wa bar flan maarufu na mnakuwaga weupe nyie ma barmaid af watamu balaa na visketi venu mkitupia na viraba
Basi Diamond alikuwa jasiri, alimbeba single mother na three boys na amemuacha akiwa na five kids.
 
Back
Top Bottom