Wanaume hatupendani.Aibu niliyopata leo nimesikitika sana. Nimeokolewa na Mwanamke

Wanaume hatupendani.Aibu niliyopata leo nimesikitika sana. Nimeokolewa na Mwanamke

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Leo ni siku ambayo sitoisahau kabisa.. katika shughuli zangu ilitokea nilikuwa nmekutana na watu kadhaa ambao nilikuwa nawafanyia presentation. suruali ambayo nilivaa leo muda flani wakati nimeenda washroom wakati nafunga zip ilibana shati hivyo kidogo ikaleta shida.lakini nilifanikiwa kutatua tatizo hilo. sikujali sana sababu nilikuwa nimevaa suit hivyo jacket iliziba

lakini napokuwa nafanya presentantion kumbe ile zip iliachia na kibaya ni kuwa wakati nafanya presentation kuna dada nlimwona amekaa vibaya kabisa ameachia miguu yangu...nami macho yangu yakasafiri na kuangalia sehemu zake nyeti. kitendo hicho kilisababisha umeme upite mwilini na kuswitch on huku chini. hivyo mashine ilisimama kwa nguvu sana na hatimaye ikatatua ile zip ambayo nilirudishia tu kisanii.na mbaya zaidi nmekuwa nikivaa boxer ambazo hapa mbele hazina kifungo ili kunirahisishia napohitaj kutoa mashine kwa ajili ya shughuli husika kwa wakti huo.

hivyo ikachomoza kichwa kutaka kuangalia huko nje kulikoni/ kuna nini... kiukweli nilihisi kaubaridi flan lakini sikudhan kama zip itakuwa imeachia na mashine kutokeza kichwa. wanaume waliendelea kuniacha na hali hiyo pasipo kunisemesha.ila niliona kama watu wanakonyezana na kupeana taarifa flan.nika pause mara kadhaa na kuuliza kuna nini kinaendelea hawakujibu kitu. maskini dada mmoja mzuri mwenye busara akatoka nje na sekunde chache akarudi na kuninong'oneza kuwa ninahitajika mara moja nje nimfuate.

nilimfuata yule dada nikiomba udhuru kwa watu wangu ambao ni wafanyakaz wa Bank flan hapa Mjini. yule dada akanambia kwa aibu kuwa mashine imejitokeza na kunipeleka ofisin kwake nikafanye utaratibu. nimesikitika wanaume wenzangu hawakuona haja ya kunisitiri kwa jambo hili. nmehuzunishwa sana. kwa nini wanaume tunachukiana hivi? waliniomba radhi nimewasamehe lakini sitowasahau.
 
hao itakua wana dalili za ushoga yaab wanakuacha unaaibika dah imeniuma hadi mimi

pole sana mkuu GUDUME
 
Haaaaahaaaahaaaaa.We jamaa kibokooooooo.Nimecheka mpaka nimepaliwa. Haaaahaaaaaa.Wadada watatuua haki ya mzungu.
 
Kila Uzi wako lakini kuna Kitu cha kufurahisha, pole gudume
 
Back
Top Bottom