Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ndiwooo na nikiona mpaka nishike we gudume ukujeTomaso ww mpka utomase..mfyuu[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiwooo na nikiona mpaka nishike we gudume ukujeTomaso ww mpka utomase..mfyuu[emoji23]
Hahaha kapicha tu mkuuTapeli wewe [emoji16][emoji16]
Hahaha..tuitegee sikio na macho,ITV wanaweza kuruka nayo hewaniWacha tusubiri story yako vizuri kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku we utakua umeichakachua
Licha ya kuwa hunaweka masala but chai imekuwa tamu tu hivyo hivyoLeo ni siku ambayo sitoisahau kabisa.. katika shughuli zangu ilitokea nilikuwa nmekutana na watu kadhaa ambao nilikuwa nawafanyia presentation. suruali ambayo nilivaa leo muda flani wakati nimeenda washroom wakati nafunga zip ilibana shati hivyo kidogo ikaleta shida.lakini nilifanikiwa kutatua tatizo hilo. sikujali sana sababu nilikuwa nimevaa suit hivyo jacket iliziba
lakini napokuwa nafanya presentantion kumbe ile zip iliachia na kibaya ni kuwa wakati nafanya presentation kuna dada nlimwona amekaa vibaya kabisa ameachia miguu yangu...nami macho yangu yakasafiri na kuangalia sehemu zake nyeti. kitendo hicho kilisababisha umeme upite mwilini na kuswitch on huku chini. hivyo mashine ilisimama kwa nguvu sana na hatimaye ikatatua ile zip ambayo nilirudishia tu kisanii.na mbaya zaidi nmekuwa nikivaa boxer ambazo hapa mbele hazina kifungo ili kunirahisishia napohitaj kutoa mashine kwa ajili ya shughuli husika kwa wakti huo.
hivyo ikachomoza kichwa kutaka kuangalia huko nje kulikoni/ kuna nini... kiukweli nilihisi kaubaridi flan lakini sikudhan kama zip itakuwa imeachia na mashine kutokeza kichwa. wanaume waliendelea kuniacha na hali hiyo pasipo kunisemesha.ila niliona kama watu wanakonyezana na kupeana taarifa flan.nika pause mara kadhaa na kuuliza kuna nini kinaendelea hawakujibu kitu. maskini dada mmoja mzuri mwenye busara akatoka nje na sekunde chache akarudi na kuninong'oneza kuwa ninahitajika mara moja nje nimfuate.
nilimfuata yule dada nikiomba udhuru kwa watu wangu ambao ni wafanyakaz wa Bank flan hapa Mjini. yule dada akanambia kwa aibu kuwa mashine imejitokeza na kunipeleka ofisin kwake nikafanye utaratibu. nimesikitika wanaume wenzangu hawakuona haja ya kunisitiri kwa jambo hili. nmehuzunishwa sana. kwa nini wanaume tunachukiana hivi? waliniomba radhi nimewasamehe lakini sitowasahau.
Unamjua shadee harris??
Sikuweza jipiga picha sister ila kama utataka naweza kuonesha uhakikishe mwenyewe.
Pole sana, vipi yule dada aliyesababisha ukaaibika nawe ulimwambia ajisitiri vizuri?Sikutegemea kabisa enzi zetu wao ndo wangekuwa wa kwanza kunisitiri
Haaa haaaa maaawee [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuna mumu na Shunie wamesema tuone woteSikuweza jipiga picha ila kama utataka naweza kuonesha uhakikishe mwenyewe.
Pole sana, vipi yule dada aliyesababisha ukaaibika nawe ulimwambia ajisitiri vizuri?