Wanaume hatupendani.Aibu niliyopata leo nimesikitika sana. Nimeokolewa na Mwanamke

Sikutegemea kabisa enzi zetu wao ndo wangekuwa wa kwanza kunisitiri
Haaa haaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] leo hii wanaume hampendani? Maajabu haya ,
pole sana ila walishasahau pic yenyewe endelea tu kilicho kupeleka
 
Licha ya kuwa hunaweka masala but chai imekuwa tamu tu hivyo hivyo
 
Hao wadada uko nao hapo.
Hapana... Ila kesho ntaonana na Dada aliyesababisha kadhia hiyo nimwambie kama hataki nifanye training pale kwao aseme tu na sio kunidharirisha
 
ilitakiwa itoke yote nje ndo ingekuwa presentation ya aina yake, viboxa tundu qulwahed sana, kawaida hiyo mkuu wala usife moyo
 
Gudume babaa zile stori zako za kupendwa na mistaili ya ajabu kunako mbona kimya mzeey
 
Huyu dada nlimweka kiporo mpaka kesho ntakuwa na session naye. Anieleze kwa uzuri dhamira yake ilikuwa nini. Kama hakutaka nifanye training angenambia tu na si kufanya vile.

Pole sana, vipi yule dada aliyesababisha ukaaibika nawe ulimwambia ajisitiri vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…