Hicho kikao kimefanyika wapi..unaleta.mrejesho.hapaMoja kwa moja kwenye point... Nikiongea kwa niaba ya wanaume wote wenye akili sawasawa ......(Excluding all madmen)
Ndoto yetu ya pamoja Kila mwanaume ni kuwa na mke anaesuka twende kilioni nzuri ... Af ngozi ya kichwa ionekane pale kwenye vile vinjia njia vile.
Sio ubahili Ila ndo ndoto yetu kwa pamoja. ๐๐๐.
Leo nime mnanga Sana Mdogo Ang wa kike .. yani amejaza mawigi chumbani kwake hadi hewa inakua nzito... matokeo yake Kila siku kazi kutuumwia mafua hapa.
Binafsi naona kujilemba Sana ni kukosa self esteem....
Na akati wewe hapo The Burning Spear na alpha blondy hamkuwepo๐Hicho kikao kimefanyika wapi..unaleta.mrejesho.hapa
Kujiremba ni haiba ya mtu sio kukosa self esteem na wasiojiremba nao tutateseam wamejiachia wamejikatia tamaa tafadhali acha kila mtu ainjoy maisha yake vile anataka na sio kuwa control 2atu wawe au waishi kwa mitazamo yako ni ngumu mno, kama kuna hatarisha maisha ya mtu kama kujichubua then itabidi kuwaonya.Moja kwa moja kwenye point... Nikiongea kwa niaba ya wanaume wote wenye akili sawasawa ......(Excluding all madmen)
Ndoto yetu ya pamoja Kila mwanaume ni kuwa na mke anaesuka twende kilioni nzuri ... Af ngozi ya kichwa ionekane pale kwenye vile vinjia njia vile.
Sio ubahili Ila ndo ndoto yetu kwa pamoja. ๐๐๐.
Leo nime mnanga Sana Mdogo Ang wa kike .. yani amejaza mawigi chumbani kwake hadi hewa inakua nzito... matokeo yake Kila siku kazi kutuumwia mafua hapa.
Binafsi naona kujilemba Sana ni kukosa self esteem....
Wanotumia mkorogo (cocktail ya chemicals) wakivua nguo wanatisha sana, ngozi inakuwa kama ya chui au kengeMoja kwa moja kwenye point... Nikiongea kwa niaba ya wanaume wote wenye akili sawasawa ......(Excluding all madmen)
Ndoto yetu ya pamoja Kila mwanaume ni kuwa na mke anaesuka twende kilioni nzuri ... Af ngozi ya kichwa ionekane pale kwenye vile vinjia njia vile.
Sio ubahili Ila ndo ndoto yetu kwa pamoja. ๐๐๐.
Leo nime mnanga Sana Mdogo Ang wa kike .. yani amejaza mawigi chumbani kwake hadi hewa inakua nzito... matokeo yake Kila siku kazi kutuumwia mafua hapa.
Binafsi naona kujilemba Sana ni kukosa self esteem....
Ebu uje piemu๐คNipo kusoma comments tyuuh hapa, nikiwa na ๐ฟzangu.
Woiiiih ๐๐๐๐๐
Mwanamke anayetumia mkorogo anatia kinyaa sijui wanaume wenzetu wanawezaje kuwatombaWanotumia mkorogo (cocktail ya chemicals) wakivua nguo wanatisha sana, ngozi inakuwa kama ya chui au kenge
wAfanye vyote lakin hii make up sjui ya foundation na makope sjawah kuona mtu kajipigilia hayo madude akanichanganyaNilishawahi kuwaambia yale makorokoro wanayopaka usoni minywele ya gharama wala hatunaga mpango nayo kama mzuri wewe ni mzuri.
Labda kama wanafanya kutambiana na wanawake wenzao ila sisi tunaona takataka tu