Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Hatujiweki kwenye mambo ya wanawake ila tunawaambia ukweli acheni pigo zenuAcheni kujiweka kwenye mambo ya wanawake, tunajiremba kwa sababu tunapenda, siyo kwa ajili yenu.
Mimi simo,Moja kwa moja kwenye point... Nikiongea kwa niaba ya wanaume wote wenye akili sawasawa ......(Excluding all madmen)
Ndoto yetu ya pamoja Kila mwanaume ni kuwa na mke anaesuka twende kilioni nzuri ... Af ngozi ya kichwa ionekane pale kwenye vile vinjia njia vile.
Sio ubahili Ila ndo ndoto yetu kwa pamoja. πππ.
Leo nime mnanga Sana Mdogo Ang wa kike .. yani amejaza mawigi chumbani kwake hadi hewa inakua nzito... matokeo yake Kila siku kazi kutuumwia mafua hapa.
Binafsi naona kujilemba Sana ni kukosa self esteem....
Mnajipa umuhimu sana kwenye maisha ya watu, unafikiri kila wanachofanya wanamke ni kwa ajili ya macho yako, huo ni ulimbukeni, punguza!Hatujiweki kwenye mambo ya wanawake ila tunaambia ukweli acheni pigo zenu
Mbona mkishajiremba kama hoes mnajipitisha pitisha sana mbele zetu wanaume?
Hatujiweki kwenye mambo ya wanawake ila tunawaambia ukweli acheni pigo zenu
Mbona mkishajiremba kama hoes mnajipitisha pitisha sana mbele zetu wanaume?
Kwa hiyo we ni mwanaumeWanaume wako hivyo..ni kweli usemayo!ila ajabu mpango wa kando anabandika hadi kope nchi 12π
Umefunga Dear, em nicheki wee bas.Ebu uje piemuπ€
Wengine tupo na manara na Ki, tunapenda walimbwende! Umeona pisi ya mtume Mwamposa?Hatimaye tumepata watetezi!!π€π€π€
Mnatafuta sana attention za wanaume mkashijipaka paka hayo matakataka yenu mnakuwa hamtulii kama ni ukumbini safari za kwenda chooni haziishiMnajipa umuhimu sana kwenye maisha ya watu, unafikiri kila anachofanya mwanamke ni kwa ajili ya macho yako, huo ni ulimbukeni, punguza!
Acha tabia ya kuchunguliachungulia chumbani kwa mdogo wako wa kike.π. Utakuja umbuka shauri lako.Leo nime mnanga Sana Mdogo Ang wa kike .. yani amejaza mawigi chumbani kwake hadi hewa inakua nzito... matokeo yake Kila siku kazi kutuumwia mafua hapa.
Hapo sawa.Wanotumia mkorogo (cocktail ya chemicals) wakivua nguo wanatisha sana, ngozi inakuwa kama ya chui au kenge
Kama umepata ka-KVant/Whiskey wanakuwa artificialy beautiful kama pisi za kiarabu (illusions)Mwanamke anayetumia mkorogo anatia kinyaa sijui wanaume wenzetu wanawezaje kuwatomba
Mnajipitisha tuwaone wanawake wote ni watu wa kusexualize mbele za wanaumeHiyo KUJIPITISHA ni nyie mmeamua kutafsiri hivyo
Sisi tunachojua TUNAPITA
Iko wapi ya MwamposaWengine tupo na manara na Ki, tunapenda walimbwende! Umeona pisi ya mtume Mwamposa?
Usifananishe waarabu na takataka mkuu unakosea sanaKama umepata ka-KVant/Whiskey wanakuwa na beauty kama pisi za kiarabu (illusions)
..wanafanya promotional dermoπMnajipitisha tuwaone wanawake wote ni watu wa kusexualize mbele za wanaume
Hatuwezi kuipangia mipango ya kando nini wafanye na nini wasifanye...ila wengi tunapenda simple na classy..Wanaume wako hivyo..ni kweli usemayo!ila ajabu mpango wa kando anabandika hadi kope nchi 12π
NAUNGA MKONO HOJA π€, Kwa ufupi waambie tunapenda zaidi vitu NATURALLYMoja kwa moja kwenye point... Nikiongea kwa niaba ya wanaume wote wenye akili sawasawa ......(Excluding all madmen)
Ndoto yetu ya pamoja Kila mwanaume ni kuwa na mke anaesuka twende kilioni nzuri ... Af ngozi ya kichwa ionekane pale kwenye vile vinjia njia vile.
Sio ubahili Ila ndo ndoto yetu kwa pamoja. πππ.
Leo nime mnanga Sana Mdogo Ang wa kike .. yani amejaza mawigi chumbani kwake hadi hewa inakua nzito... matokeo yake Kila siku kazi kutuumwia mafua hapa.
Binafsi naona kujilemba Sana ni kukosa self esteem....
Jinsi mnavyo pambana mfananane na wazungu, wao wanwaonea huruma sanaHatuwezi kuipangia mipango ya kando nini wafanye na nini wasifanye...ila wengi tunapenda simple na classy..
Yaani hawa viumbe tukiwaita vyombo vya starehe wanasema tunawatukana..wanafanya promotional dermoπ