Wanaume hatupendi wadada wanaojiremba kupitiliza

Hatari sana, labda wengine wanaficha ukoka kichwani, lakini Mimi naona kama mwanamke atatunza vizuri nywele zake na ngozi yake anakuwa Bomba zaidi, wapo wanawake tunawaona wako vizuri na nywele zao na ngozi zao halisi. Shida inakuja kwenye matunzo ndo balaa hivyo ni ile funika twende ya chap chap, mara nyingine labda wengine hawajiamini nk.
 
Mimi nachukia pia wanao jikoleza na perfume hadi harufu yake inakera
 
Mind na Vagina zao ni nonselective , the end justifies the means😑
 
Mimi unitoe kabisa kwa wanaopenda msuko wa twende kilioni. Bora hata anyoe nywele ziwe ndefu wastani kuliko hiyo twende kilioni.
 
Napenda wanawake wa dhehebu la sabato, wako very natural by many ways, ni wazuri sana, kanisa lao lina discourage kuchafua hekalu la Mungu (mwili ni hekalu la Mungu, hawaruhusu kulifanyia alterations)
 
Una tabu wewe ulienda kufanya nin chumba cha dada ako
 
Umepiga mule mule. Kwakweli sijui ni ushamba wangu. Basi nikimuona mwanamke amejiremba kupitiliza huwa namuogopa na hamu inaisha kabisa. Unakuta kajikoroga mweupe pee! Kapaka yale ya mdomoni, pini puani, nyusi za kubandika, kucha ndefu za kubandika (hapo kwenye kucha ndio sitaki kuziona kabisa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…