Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Na zile taa za rangi rangi za usiku zikimmulika unasema hapa nimepata mwarabu au mpemba, balaa linakuja asubuhi ukimwona laivu na pombe zimeshakataUkipiga kvant au nyagi wanapendeza kuzidi
..lakini "V"inakuwa natural kama zingineUmepiga mule mule. Kwakweli sijui ni ushamba wangu. Basi nikimuona mwanamke amejiremba kupitiliza huwa namuogopa na hamu inaisha kabisa. Unakuta kajikoroga mweupe pee! Kapaka yale ya mdomoni, pini puani, nyusi za kubandika, kucha ndefu za kubandika (hapo kwenye kucha ndio sitaki kuziona kabisa)
Kikao kimemaliziki Hivi punde Hapa Burkina Faso kwa ukanda wa Africa na Hayo ndio makubaliano Yetu.Hicho kikao kimefanyika wapi..unaleta.mrejesho.hapa
Hivi na V si inakuwa nyekundu imeiva au inabaki natural? mana sijawahi kukutana nao hao waliojipodoa na kujiremba kupitiliza mana huwa nawaogopa!..lakini "V"nakuwa natural kama zingine
Elewa Neno hili......(Excluding all madmen)Sio ndoto ya wanaume wote
Mwamposa akifilisiwa au kupigwa marufuku Kama ilivokuwa Kwa kiboko ya wachawi huyo Dada ataendelea kuwepo?Wengine tupo na manara na Ki, tunapenda walimbwende! Umeona pisi ya mtume Mwamposa?
Dah π nimepata point zote mazee.Hatuwezi kuipangia mipango ya kando nini wafanye na nini wasifanye...ila wengi tunapenda simple na classy..
Ngoja nipate msaada wa googleMtume Mwamposa kaua, ile pisi yake kali mobetto akasome. Sijui kaitoa wapi maana sampuli zile nadra sana kuziona EA.
Wanaume tunataka muwe simple kama huyu mrembo sio mazaga zaga utafikiri duka la urembo linapita njiani
View attachment 3309771
Yes mamyKwa hiyo we ni mwanaume
..kama umemchukua bila kupata ganzi (pombe)Duuuh! Hili sikujua mzee, kweli mwanamke wa mkorogo sio mwanamke ukimgusa anawasha kama upupu
Nipo my baby sis, unaendeleaje?Sis mic u mnoo, ulipotelea wapii?
Mie niko poa kabisaa.Nipo my baby sis, unaendeleaje?
πππππWanaume wanafki sana..!!
Ukienda kuchunguza wake zao ndo utaona walivyo mapampula..!!
Wengine wake zao wameungua na cream mpk kwenye mipodido, sura nyekundu km Matraco ya nyani..