Wanaume hatupendi wadada wanaojiremba kupitiliza

Fact

Makandiko na madude feki vinaboa
 
Yakienyeji kabisa hii.
Af kwa bed ndo zinakua tam Sana ...
Wanasema ukiona mwanamke hajajiremba sana lakini bado anaonekana mzuri, basi ujue huyo ni mwanamke mzuri sana!
 
Ukitaka kujua wanawake ni viumbe wa ajabu,
1.anaondoa hope zake org,anaweka fake ndefu
2.anaondoa kucha zake org,anaweka fake ndefu
3.anatoa nywele zake,anaweka mawigi
Halafu hapo ni wote awe msomi au hajasoma wanafanana.
 
Jambo ambalo huwa linanishangaza zaidi ni kuwa unakuta mwanamke ameolewa ana ndoa yake na familia lakini amevaa suruali au skirt inayomuonesha makalio yake yalivyobana.sasa unajiuliza huyu amevaa hivi kumuoneshea nani????

Mwanamke huyo huyo aliyevaa hivyo yeye anakuambia anajiheshimu,98% ya wanawake wote ni makahaba wasio jipanga barabarani awe msomi asiwe msomi,awe na kazi au asiwe na kazi,awe na biashara au asie na biashara.
 
Wewe mkuu unaambiwa hakuna kitu hawa watu wanapenda kama ile feeling ya kuona mwanaume wanambabaikia
 
Hili ni tatizo lako wewe mzaliwa wa Maula Newala. Wengine tunataka wanaojiremba (bora isiwe kujiremba kilimbukeni ie. wanaiga na kuwa kituko). Unajua maana ya mwanamke kuwa ''sexy''?
 
Sasa umkute ana tumbo kubwa kama kama la Lamomy alafu kapaka makeup na komwe lake kama buti la jeje.
 
Hili ni tatizo lako wewe mzaliwa wa Maula Newala. Wengine tunataka wanaojiremba (bora isiwe kujiremba kilimbukeni ie. wanaiga na kuwa kituko). Unajua maana ya mwanamke kuwa ''sexy''?

Soma btn lines and btn words kiongozi .. unalolisismamia ndilo linasimamiwa na mtoa Uzi pia .

Mwanamke asiyejiremba Sana ..

NB : asiyejiremba Sana.
 
Soma btn lines and btn words kiongozi .. unalolisismamia ndilo linasimamiwa na mtoa Uzi pia .

Mwanamke asiyejiremba Sana ..

NB : asiyejiremba Sana.
Kujiremba sana SIYO SAWA na kujiremba kilimbukeni.
 
Mkishakosa siku zenu hasira mnahamishia kwa Lamomy, vipi baba mtoto humjui??

Kunywa miso upate period kenge weeh..!! 😹😹

sheremaya haya ... Unaeza Zima huu moto au tukuitie fire Mkuu ??

Lamomy wanasema ety wa voda wamemwibia MB zake. kukasirika Sana. πŸ™πŸ€£πŸ€£πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…