Mwanaume hisia kiongozi ....Wanaume kamili au wanaojiita wanaume, huku wana tabia za kike?
Kale ka kiuno nyingu alikofunganga nako ndoa ndo kalimbwaga au mwingine?
Hee haya mkuu, tumekuelewaπHapo tupo pamoja
Unajua naendaga kwenye harusi nakuta bibi harusi kakandikwa ma make up mpaka unashindwa kuelewa hivi ndiyo huyu shemeji yetu au mwanetu alimua kuchukua chuma kingine dakika za jioni
Kumbe ni yuleyule sema yale matakataka yamembadilisha hadi muonekano
Unakuta mikucha kama shetani, mikope kama yule kahaba Yezeberi. Pigo nyingi mnazojiremba zinakuwa zimekaa kimalaya malaya
Acheni hizo wanaume hatuna habari nazo kabisa
Hao wa zamani, wa ss hivi wengi wanatumia mikorogo..!!Walimu wapi hao?? Mbona walimu wangu wabonyokwa primary wapo fresh tuuu
Wale wanapaka mikorogo ya low budget na location zao jua linawachoma sana hata sunscreen hawana..!!Kwakweli Sisi huwa tunawavumilia tuu,
Ila kutoka moyoni hatupendi kabisaaa, tunapenda natural...Kama MH Queen sendega
Kuna wadada wengi wavingunguti na mbagala wameungua USO hivi kuungua USO kunatokana na lokeshen au??
Ohhh kumbe,Wale wanapaka mikorogo ya low budget na location zao jua linawachoma sana hata sunscreen hawana..!!
Wengine mama ntilie moto unawachoma lazima wawe vile..!!
Sawa bwana, umeamua kutusimanga Sisi polisiπππ na wake zetuHao wa zamani, wa ss hivi wengi wanatumia mikorogo..!!
Wale wanapaka mikorogo ya low budget na location zao jua linawachoma sana hata sunscreen hawana..!!
Wengine mama ntilie moto unawachoma lazima wawe vile..!!
Hata sijijui ni gani?Wewe ni kijana au msichana??
Hebu weka msuko tuuone aiseee! Nilikuwa nampenda sana waziri mmoja enzi ya Kikwete anaitwa Dr. Fenella Mukangara! Yule sister alikuwa pure local breed alikuwa ananivutia sana yule mdada! Sijui yuko wapi siku hizi? Chuma hiki hapa!ππππππHatimaye tumepata watetezi!!π€π€π€
Mi sisuki nanyoa Tu siku zote nywele zangu ni fupi fupi!Hebu weka msuko tuuone aiseee!
Mi sisuki nanyoa Tu siku zote nywele zangu ni fupi fupi!
ππππSina namba yake kashatangulia mbele za haki,Mungu aendelee kuipatia roho yake Pumziko takatifu!!
Ooo
ππππSina namba yake kashatangulia mbele za haki,Mungu aendelee kuipatia roho yake Pumziko takatifu!!
Nimecheka Kwa sautiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sawa usijari.
Najua huko aliko atakua anataman upate mme Bora ambae anaweza kukusuka mabutu ya kulalia ....
Sema sijui uko MKOA gan.
Ngoja nitulie kwanza.πππ ππππππππ
Ila MUNGU ailaze Roho ya kipenzi Baba yetu aliyetuzalia katoto kwenye akili ambako hakapendi hata kuweka mawigi kichwani sabab kanajikubari vile kalivyo na kipilipili chake ambacho hata achane vizuri vipi ... Upepo ukipuliza tu zinavurugika tena.... πππ
Sitaki gari kipenzi nataka jero tu ya daladala!I get you babe shibela Cheka Ila kua makini usivunjoke mbavu...
Ivi unahisi nikiweza kukuchekesha ni kipi ntafeli hapa duniani sa ?
Mimi ntashindwa kumtoa ex wangu kafala ili nipate gari zuri kwajir yako dear ???