Wanaume hawa wa JF wananichefuaga sana!

Wanaume hawa wa JF wananichefuaga sana!

Haya wa chama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chakavu
 
wazee wa chama chakavu tupo kwenye uzinduzi wa Udart , huku gerezani.
 
Ufinyu wa kufikiri kwa wanawake ni kawaida yao. Utakuwa MTU wa kaskazini ww. kutokana na swagger zenu kufanana. Mm ni cdm lkn mkuu wetu anabore.
Dah... miye toka alivyoedit katiba nilimbwaga palepale.... [emoji13] [emoji13]
 
Lazima kuna mahali mrija umekatwa sio bure
 
Bahati mbaya Lumumba huwa Hatutongozi wanaume wenzetu... Labda wale watekaji wa Ufipa.
 
Back
Top Bottom