Wanaume, hawa wanawake walindwe huko walipo dhidi ya lile kundi la pili

Wanaume, hawa wanawake walindwe huko walipo dhidi ya lile kundi la pili

"Ukivaa masculine energy, feminine energy inakaa pembeni.." Meaning unakuwa jike dume!

Sikujua kama kuna wamama waliosoma halafu wanakuwa wanyenyekevu kama huyu. Anasema ana Masters ya Actuarial science!

Nahisi akina Kataa Ndoa wanakutanaga na feminists tupu.

Yap.. Hawa wadada waongezewe ulinzi!
 
Ukimwamini mwanamke unatakiwa upimwe akili, hao wanatafuta fame tuu
Sure but wameongea uongo au ukweli?.

Kumbuka katika kutafuta umaarufu huo unaosema kuna binti mmoja kaponywa kutokana na alichoswma mmoja wa hawa!.
 
Back
Top Bottom