Bujibuji mkuu siyo wote kuna watu bila romance hawajisikii, ila kikwazo kinachokuja kwa wake zetu ni mazingira, mazoea n.k mf. utakuta umepanga na ukifanya hard romance mke anapiga kelele si unajua tena sasa baba kesho ukiamka kila mtu anakucheki kama umeua mtu. Au mama ana mtoto mdogo sasa inabidi upunguze manjonjo kidogo, vinginevyo kama huna kikwazo inabidi kipindi fulani kubadili mazingira ili kuoingeza ufanisi.
Ndiyo maa watu "kazi za nje" wanazipenda kwa sababu wanakutana wakati muafaka, sehemu muafaka hivyo akili inakuwa imejitune kufanya vitu adimu ili P yako isishuke.