Wanaume hawapendi kabisa romance...

Wanaume hawapendi kabisa romance...

Mi ndo maana huwa naendaga kwa machangu, kule unalipa, unachapa, inalala
 
Sio kweli na nabisha!

Jamaa yangu anapenda manyonyo yangu na hata KUZAMA CHUMVINI!

nakataa kata kata, hau wa design yako ni washamba!
 
Bujibuji mkuu siyo wote kuna watu bila romance hawajisikii, ila kikwazo kinachokuja kwa wake zetu ni mazingira, mazoea n.k mf. utakuta umepanga na ukifanya hard romance mke anapiga kelele si unajua tena sasa baba kesho ukiamka kila mtu anakucheki kama umeua mtu. Au mama ana mtoto mdogo sasa inabidi upunguze manjonjo kidogo, vinginevyo kama huna kikwazo inabidi kipindi fulani kubadili mazingira ili kuoingeza ufanisi.
Ndiyo maa watu "kazi za nje" wanazipenda kwa sababu wanakutana wakati muafaka, sehemu muafaka hivyo akili inakuwa imejitune kufanya vitu adimu ili P yako isishuke.

 
Duh.......
Mi naona Buji kasema ukweli, ndio maana wengi huwa tunamwaga zetu nafaka kabla ya wadada
 
asee wewe! labda wa kwako kama we ni mwanamke.
lakini wapo wengi san wanaopenda hizo michezo.
 
Bujibuji mkuu siyo wote kuna watu bila romance hawajisikii, ila kikwazo kinachokuja kwa wake zetu ni mazingira, mazoea n.k

sasa mzee unamaanisha wake zetu hawapendi kwa hiyo ndo kikwazo?mbona mi najua ladies wanapenda sana foreplay
 
si kweli Buji2 ila the opposite is th truth, the very truth and nothing but the true thruth!
 
sio kweli kuna wengine wanapenda zaidi michezo inayoendana na....kuliko kutumbukiza
 
Sio wote bwana labda kama unafanya na mtu ambaye humpendi
 
Hapo kwenye kumwaga sufuria ya uji, mmh?
Ila kiAfrika ndivyo ilivyo, asa we umelala chumba kimoja na watoto uanze makasheshe si utaharibu kabla hujamwaga?
 
Yaap baadhi yetu wanaume ndo tulivyo,lakin baada ya kuambiwa kuwa wanawake wanaenjoy sana baada ya romance wengi tumebadilika!
 
Back
Top Bottom