Wanaume hii imekaaje?

Heri mimi nikae kimya hapa maana.......
 
Ukiona hivyo Waridi ujue jamaa yuko fiti kitandani na dada hawezi tia neno ataishia kulalamika pembeni.
 
Heri mimi nikae kimya hapa maana.......

Ha ha ha ha Maty unataka kuoa, jamaa ahamie geto kwako kabisa kabisa, afu we unakuwa Service provider.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…