Nana brain
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 488
- 367
Jamani wanaume hivi huwa hamuoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi?
Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani imeunganikana na ya kwapani yaani ni shida! I take it weird though wakaka wanaona poa even other ladies take it weird I guess.
Kwa kweli sitapendaga mume wangu awe anakaa kifua wazi.